OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
RIP Wakili msomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaagwa na mwakili wenzake ili waweze kumsafirisha DSM kukabidhi mwili wa marehemu kwa familia.Duuuh yaani amefariki leo, na tukio la kumuaga leo leo,
Covid 19Pumzika Maria.
Wewe ni wakili mzuri.
Umenisimimamia mahakama zote kuanzia ya mwanzo, wilaya mpaka mahakama kuu.
Siku 4 nyuma tulikuwa tunapiga mahesabu 2026 utengeneze upya kitambulisho cha taifa kwa maana cha sasa wamekosea jina lako kumbe tunaagana.
Pole pia Khalid Mzee.
Jaji Mfawidhi nitaomba update niweze kumuaga Maria hapa jijini DSM.
Wawapekue mifukoni mawakili wote kabla ya kutoka ukumbini, ushahidi utapatikana.
Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka.
Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanaoendeshwa na magari muda wote.
RIP wakili msomi Maria

Gone too soon. RIP dada tutaonana baadaye

Haya sio makafara ya Mwabukusi?

Binadamu sio mnyamaWanyama pia ni viumbe,kama binadamu.