TANZIA Wakili Maria Pengo afariki ghafla akihudhuria mkutano mkuu wa TLS, Dodoma

TANZIA Wakili Maria Pengo afariki ghafla akihudhuria mkutano mkuu wa TLS, Dodoma

Hiyo kitaalamu inaitwa "Myocardial ischemia" occurs when blood flow to the heart muscle (myocardium) is obstructed by a partial or complete blockage of a coronary artery by a buildup of plaques (atherosclerosis). If the plaques rupture, you can have a heart attack (myocardial infarction).

Huu ugonjwa hauji ghafla, bali huanza taratibu kwa plaques kujijenga ndani ya mishipa ya damu.

Ipo namna ya kuzuia plaques zisijijenge ndani ya mishipa ya damu.

By the way kifo haiepukiki, usipokufa kwa sababu hii, utakufa kwa sababu nyingine.
yeah, kila kifo ni muhimu kiwe na sababu. kikikosa sababu tutawapa kazi polisi kufungua jalada la kifo cha mashaka
 
Pumzika Maria.
Wewe ni wakili mzuri.
Umenisimimamia mahakama zote kuanzia ya mwanzo, wilaya mpaka mahakama kuu.
Siku 4 nyuma tulikuwa tunapiga mahesabu 2026 utengeneze upya kitambulisho cha taifa kwa maana cha sasa wamekosea jina lako kumbe tunaagana.
Pole pia Khalid Mzee.
Jaji Mfawidhi nitaomba update niweze kumuaga Maria hapa jijini DSM.
Nilipokea simu saa kumi na mbili alfajiri ya Leo toka kwa familia kuwa tumempoteza rafiki kwa mujibu wa wanafalilia mazishi yatafanyika siku ya juma tatu na msiba upo nyumbani kwao kongowe mbagala
 
Nilipokea simu saa kumi na mbili alfajiri ya Leo toka kwa familia kuwa tumempoteza rafiki kwa mujibu wa wanafalilia mazishi yatafanyika siku ya juma tatu na msiba upo nyumbani kwao kongowe mbagala
Ahsante.
Kongowe kituo gani?
Na kuaga lini?Ahsante ninategemea update toka kwako.
 
Pumzika Maria.
Wewe ni wakili mzuri.
Umenisimimamia mahakama zote kuanzia ya mwanzo, wilaya mpaka mahakama kuu.
Siku 4 nyuma tulikuwa tunapiga mahesabu 2026 utengeneze upya kitambulisho cha taifa kwa maana cha sasa wamekosea jina lako kumbe tunaagana.
Pole pia Khalid Mzee.
Jaji Mfawidhi nitaomba update niweze kumuaga Maria hapa jijini DSM.
Anawatoto wangapi
 
Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.

Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanaoendeshwa na magari muda wote.
Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka.
Je Post mortam report ndio inasema hivyo au umejisemea tu bila report ya Daktari??
Wamemuwekea sumu

USSR
Inawezekana pia, kwa sababu Mawakili Wana mambo mengi sana, wengi wao Wana "mambo meusi" zaidi.
 
Back
Top Bottom