TANZIA Wakili Maria Pengo afariki ghafla akihudhuria mkutano mkuu wa TLS, Dodoma

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776


Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.

Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanaoendeshwa na magari muda wote.
Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka.
 
She was too young to die....anyway RIP
 

Kwenye kile chama chetu tunao msamiati wetu ambao hutokea Dodoma tu:

"kukolimbwa."

Lucas Mwashambwa, johnthebaptist, Etwege na wale wengine, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Pole masikini labda ni anxiety za chaguzi hizi masikini. Inaumiza sana.
 
Pumzika Maria.
Wewe ni wakili mzuri.
Umenisimimamia mahakama zote kuanzia ya mwanzo, wilaya mpaka mahakama kuu.
Siku 4 nyuma tulikuwa tunapiga mahesabu 2026 utengeneze upya kitambulisho cha taifa kwa maana cha sasa wamekosea jina lako kumbe tunaagana.
Pole pia Khalid Mzee.
Jaji Mfawidhi nitaomba update niweze kumuaga Maria hapa jijini DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…