DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
“Kama CHADEMA isingefungiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, huenda matukio ya tarehe 29 yasingetokea,” ilielezwa katika mjadala wa One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Wakili Msomi Dickinson Matata, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.