funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Waliotaka kupindua nchi oktoba 29Walio mfanyia hila hadi kumuua sindiyo hao walio ndugu zetu
29 Oct ? Au unajizima data
Waliotaka kupindua nchi oktoba 29Walio mfanyia hila hadi kumuua sindiyo hao walio ndugu zetu
29 Oct ? Au unajizima data
Amesomea wapi na ameshinda kesi zipi na ni lini Chadema ilifungiwa kufanya siasa?
Unakielewa ulichopost?
It's it's beyond your understanding then better engage in different topics.Unakielewa ulichopost?
Yaani unaniletea kijarida feki wakati muda wote tumeijadili Siasa na mwenendo wa chadema kwenye jukwaa hilihili?It's it's beyond your understanding then better engage in different topics.
Issue is what exactly transpired, you can't dispute the facts without coming with your solid side of the story. Cut that UVCCM bullcrap.Yaani unaniletea kijarida feki wakati muda wote tumeijadili Siasa na mwenendo wa chadema kwenye jukwaa hilihili?
Waliongea majukwaani mpaka wakachoka, wakaona waje na sera za kipuuzi za 'kukinukisha'.Nani aliyefungwa mdomo?wakati wa Magufuli mlisema hivi hivi akaja samia akawaacha mfanye mikutano mkaishia kutoa matusi tu hakuna sera.
Waliongea majukwaani mpaka wakachoka, wakaona waje na sera za kipuuzi za 'kukinukisha'.
Mlifikiri utekaji, mauaji na kupoteza watu vitaweza kuwanyamazisha watu??Kwa nini tunaruhusu maduanzi kuja kwenye public na kutoa opinion?
Badi serikali ni mbovu na haifai maana inalinda wapinzani kuua wananchi.Ndiyo
Nchi ikivurugika kuja kurudia hali ya zamani inachukua muda pia gharama za kipesa zinakuwa nyingi...Polisi nao waliandaliwa kwa siku nyingi kukabiliana na waandamanaji kwa kuwauwa.
..kabla ya Oct 29 polisi walikuwa wanatoa lugha kali za vitisho na ukatili dhidi ya yeyote atakayeandamana siku ya uchaguzi.
Nchi ikivurugika kuja kurudia hali ya zamani inachukua muda pia gharama za kipesa zinakuwa nyingi.
kama huamini kuwa serikali ya ccm inawaogopa wananchi angalia kwenye junctions zote kubwa za barabara mjini kuna magari ya POLISI na polisi wenye misilaha MIZITO HUKU WAKICHATI KWENYE SIMUConfession kuwa CHAGADEMA na TECDEMA walihusika kwa kiasi kikubwa na Machafuko ya tarehe 29/10 ila Funzo limepatikana sidhani kama kutatokea mjinga yoyote kuja kuandamana hivi karibuni.
Wanawalinda Raia na Mali zao! Kama wewe si mhalifu Polisi wanakukwaza nini?kama huamini kuwa serikali ya ccm inawaogopa wananchi angalia kwenye junctions zote kubwa za barabara mjini kuna magari ya POLISI na polisi wenye misilaha MIZITO HUKU WAKICHATI KWENYE SIMU
WEWE UNAFIKIRI NI KAWAIDA HII TENA KWA RAISI ALIYEDANGANYA AMESHINDA KWA 98% AKIWA MAFICHONI NGERENGERE HUKO
mimi sikwaziki na polisi kwakuwa sio muhalifu.... nakwazika na kubinywa kwa haki kunakosababishwa na polisi. yaani polisi anakimbia na mabox ya kura ili chama fulani kishinde kwa 98%Wanawalinda Raia na Mali zao! Kama wewe si mhalifu Polisi wanakukwaza nini?
Tatizo mnaolipwa hata taarifa hamna,we huna tofauti na wakatoliki wa mchongoAmesomea wapi na ameshinda kesi zipi na ni lini Chadema ilifungiwa kufanya siasa?