Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU

Matata ametoa Taarifa ukurasani X
wahuni wenzie tayari kazini (chadema)
 
Mi sina ujinga wa CCM wala CHADEMA sina wa kumpa imani yangu zaidi ya mungu na mimi mwenyewe, naomba unitoe huko kwenye siasa.
Sasa unaumia nini Chadema kumsaidia mtu anayehitaji msaada? Yule ameumizwa sana kiasi yuko ICU anahitaji matibabu ya uhakika kuokoa maisha yake, na pia waliotaka kumuua wakijua kuwa yuko hai lazima watafanya juu chini wamalize kazi waliyotumwa, wakitokea watu kumsaidia wewe unapata hasara gani. Watu wameshachanga zaidi ya M10 wewe hujaombwa hata senti tano unapata shida gani? Ni ushetani tu unakusumbua na wengi wenye roho hiyo wako CCM ndiyo maana nilikuweka kwenye hao nguruwe wa kijani. Wacha roho mbaya.
 
Mnamsaidia au ndo mnamuongezea matatizo, wangapi husaidia mtu bila mlengo wa kisiasa! Maana hapo tayari keshavishwa vazi la mgawanyiko wa kisiasa, kuna watu wema wangeweza kua karibunae saivi watakua mbali nae sababu ya kuogopa ukaribu wake na watu fulani.
NARUDIA. Mimi nafikiri kwake ni bora kua karibu na wazazi wake na ndugu zake kuliko hao watu wa mlengo wa kisiasa wa CCM au CHADEMA n.k.
 
Mnamsaidia au ndo mnamuongezea matatizo, wangapi husaidia mtu bila mlengo wa kisiasa! Maana hapo tayari keshavishwa vazi la mgawanyiko wa kisiasa, kuna watu wema wangeweza kua karibunae saivi watakua mbali nae sababu ya kuogopa ukaribu wake na watu fulani.
NARUDIA. Mimi nafikiri kwake ni bora kua karibu na wazazi wake na ndugu zake kuliko hao watu wa mlengo wa kisiasa.
Usichoelewa wewe ni kuwa Chadema siyo kama wamemzunguka hapo alipo lakini wanachofanya ni kuhakikisha kuwa anapata msaada hata hela iliyochangwa wamepewa familia yake, wewe unakuwa na chuki tu na Chadema hivyo kila wanachofanya wewe lazima uone ni cha kijinga haya nenda kamsaidie wewe.
 
Sina chuki na mtu anayetoa kwa moyo na imani hua nina chuki kwa hawa wanaotoa kwajili ya mission fulani, kuanzia wanasiasa, wasanii, na watu maarufu wote wanaopenda picha na media kwenye issue za kumsaidia mwanadamu.

Nyinyi leo mmetoa na kesho akija mtu wa CCM akasema anamsaidia zaidi familia ikafurahia mtawaoma kama ni mamluki tena mnaweza kunwona kama anawasiliti.

Leo diamond akisema anamsaidia mtu then akaja kusikia na harmonise kasema atamsaidia uyo mtu then uyu wa kwanza atajenga chuki maana hasimu wake kaingilia sehemu anapojipatia credit na anaweza kususa kujiengage na msaada zaidi.

Binafsi naweza kusaidia yeye/mtu yeyote vileninavyoweza bila kulitumia jina lake kujipa credit zozote na yeyote kujua, lengo ni mtu apone lengo sio kuonesha watu kua mimi ndo niliyefanya apone akitaka atasema mwenyewe.
 
Anao uwezo wa kukemea bado hajachelewa.
Wewe ni mtu mwenye subira na matumaini sana kama bado unadhani kuna muujiza unaoweza kumtokea ghafla huyu mama na kumfanya abadilike kuwa mtu tofauti kabisa na alivyo.
Huyu siyo mtu anayependa kujishughulisha/kujihangaisha na maswala mazito kama ya uongozi wa nchi. Ni bahati mbaya tu amejikuta ameangukiwa na zigo hilo.
Na kama ujuavyo, ukiangukiwa na zigo la dhahabu huachi kujinasibu kuwa unao uwezo wa kuitumia dhahabu hiyo na kudai uongezewe zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom