Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Get well Soon SATIVA.

Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Konda
 
Kwahiyo mambo ni yale yale tu ?!!
Kwahiyo Ngosha alikuwa anasingiziwa tu. 😳🙄
Ya Dokta Ulimboka yalikuwa awamu ya Nne 🙄
Sasa Ngosha atapumzika kwa Amani !
😳😳😳😳
Dr Ulimboka aliokotwa Msitu wa PANDE tar 27-June-2012 na SATIVA aliokotwa PORI la KATAVI 27-June-2024.

Kipindi cha mwendazake DAB ndiye aliyekuwa anaratibu UTEKAJI ,na still DAB yupo kwahiyo matukio yataendelea even JIWE hayupo.
 
Samia usikubali kuwa shetani wa kike.
Ataepuka vipi kuwa shetani wakati akiongoza kundi zima la mashetani? Atake asitake, itamlazimu yeye ndiye awe shetani mkuu..
Kama anategemea kufaidika na matokeo ya ushetani, ataukataa vipi ushetani?

Huyu kisha shikiliwa na shetani, kamwe hawezi kujinasua tena.
 
Mkiendeleana kugombana muende kwa watoto wenzenu twitter hapa hapawafai. Hata kama uhuru wa kusocialize. Mnazingua vijana. Kagombaneni huko. Jamii forum to opinion tuikande au tuitupe.
 
Ataepuka vipi kuwa shetani wakati akiongoza kundi zima la mashetani? Atake asitake, itamlazimu yeye ndiye awe shetani mkuu..
Kama anategemea kufaidika na matokeo ya ushetani, ataukataa vipi ushetani?

Huyu kisha shikiliwa na shetani, kamwe hawezi kujinasua tena.
Ataweza tu.asiige tabia za mwendazake yule alikuwa nusi binadamu nusu shetani
 
Dr Ulimboka aliokotwa Msitu wa PANDE tar 27-June-2012 na SATIVA aliokotwa PORI la KATAVI 27-June-2024.

Kipindi cha mwendazake DAB ndiye aliyekuwa anaratibu UTEKAJI ,na still DAB yupo kwahiyo matukio yataendelea even JIWE hayupo.
Kwahy tumekubaliana JPM hauhusiki na mambo ya utekaji?
 
well done,

ni mwanachama wao kumbe, au kibinadamu tu 🐒
Bongo ukiwa mpinzani wa serikali hata ukiwa jeshi la mtu mmoja lazima wanachadema walazimishe uwe wao kwa kukuunga mkono unayosema
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU

Matata ametoa Taarifa ukurasani X
Cheap popularity!
 
Asikubali nini sasa unaambiwa yuko ICU na anahitaji msaada kwani hao watesi wake lazima watakuja kummalizia.
Kwani hao chadema ndo walinzi au wao ndo madoctor? Mtu wa muhimu kwake saivi ni wazaz wake na ndugu zake sio watu wasiasa
 
Sawa ila Mungu wetu ni Mkuu sana kuliko maelezo………atalipa kwa vitendo
 
"Tulivyotrepu simu zake tukaona mara anamwambia Manyika leta document hii mara leta ducoment ile ,hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusurvive ,jeshini wanajua msaliti wanamfanyaje" -JPM -7-Sept-2017
Sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom