Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Sikupingi lakini nina swali kwako jepesi.Waliofika pale wanatambulika kama wanachama wa CHADEMA nimeona ACT WAZALENDO wametoa tamko lao pia,swali langu ni hili: Ulitaka wakifika pale tuwatambue kama raia wema au wanachama wa vyama husika?ACT na Chadema wanagombania kumtumia Sativa kama karata yao ya siasa, Lol
Kwa maana jamii pia inawatambua kuwa ni watu wa CHADEMA(kwa mantiki yako ni kwamba huu utambulisho katika tukio hili usionekane sio?).Kumbuka pia CHADEMA kama chama cha kisiasa ni sehemu ya jamii.Mbona rais akitoa mchango mnakimbilia kudumisha ilani za chama cha kijani kwamba kidumu?