Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

Asikubali nini sasa unaambiwa yuko ICU na anahitaji msaada kwani hao watesi wake lazima watakuja kummalizia.
Naamni wangetaka kumuua bhc angeshakwisha mda mrefu kabla ajafika chuga au katavi
Huyo wamefanya kumtesa kama Roma au yule doctor ulimboka
 
Get well Soon SATIVA.

Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Labda walienda kutaka kumtupa nje kwa Lema ila wakagundua Lema amesafiri hayupo nchini 🤣
 
Naamni wangetaka kumuua bhc angeshakwisha mda mrefu kabla ajafika chuga au katavi
Huyo wamefanya kumtesa kama Roma au yule doctor ulimboka
Kwa kesi zote mbili walijiaminisha kuwa walishaua, na kwa kesi ya Sativa walienda kumtupa kwenye hilo pori ili aliwe na wanyama kupoteza ushahidi. Tusiandike mate kama akiamka atasema yote na ndiyo kitu hao watesi wake hawatapenda kitokee na njia pekee ni kwenda kummalizia.
 
Dogo asikubali kutumika kisiasa naona chadema wanataka kumfanya kete yao
Anayekufaa wakati wa dhikli ndiye rafiki wa kweli....Chadema haitakagi huu upuuzi wa kuumizana wananchi
 
Hayo mashetani yaliyofanya huu unyama saa hii wapo baa kwenye viti virefu wakisuka maangamizi zaidi. Kama ni wakristu huwa kanisani wanakaa viti vya mbele kama wasamaria wema.
 
Anayekufaa wakati wa dhikli ndiye rafiki wa kweli....Chadema haitakagi huu upuuzi wa kuumizana wananchi
Kama kweli ni kijana wao bhc chadema wana vijana wa ovyooo kabisaa ,,kama umeona post zake hutanibishia hili
 
Back
Top Bottom