AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
KondaGet well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?