Wakili Medium Mwale ahukumiwa kwenda jela miaka 5 kwa kosa la utakatishaji fedha

Wakili Medium Mwale ahukumiwa kwenda jela miaka 5 kwa kosa la utakatishaji fedha

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha

Pia amemuhukumu kifungo cha miaka saba ambacho ameshakitumikia kutokana na makosa mengine.

Sep 25, 2018 Wakili wa Serikali, Oswald Tibabyakyomya, akisaidiana na mawakili wenzake, alimsomea upya Wakili Mwale mashtaka 41 ya utakasaji fedha haramu, kula njama, kughushi na kujipatia mali iliyopatikana kwa njia ya uhalifu.

Alidai washtakiwa hao walitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2009 na 2011.


Habari zaidi, soma=>Wakili Mediam Mwale adaiwa kukutwa na TZS 18 bilioni haramu - JamiiForums
Wakili Mwale na wenzake wasomewa upya mashtaka baada ya kukaa mahabusu kwa miaka 7 - JamiiForums


=====

An Arusha court has fined popular Arusha lawyer Median Mwale Sh200 million or serve five years in jail for money laundering charges.

High Court Judge Issa Maige ruled today, December 3, 2018, that Mwale will serve five years in jail should he fail to pay the fine for the charge of laundering Sh15 billion.

Mwale who has been in remand custody for slightly more than seven years will walk free upon payment of the fine in the case that hit headlines when he was first arrested and charged with the offence in 2011.

He was charged alongside Kenyan politician Don Bosco Gichana and CRDB Bank managers Boniface Mwimba and Elias Ndejembi. Mr Gichana was last month set free after paying Sh300 million in fine after pleading guilty to the offence.

Both Mwale and Gichana changed their plea, with the Arusha lawyer pleaded guilty on November 28, 2018. However, the CRDB Bank employees have maintained their not guilty charge and the court is expected to announce the date for hearing of the case which has dragged in court all the years for lack of progress in investigations.

Mr Mwale who is a popular figure in Arusha and the bank officials were arrested and arraigned over 42 charges of money laundering, conspiracy, forgery and possessing property obtained through illicit means.
 
Hopefully kalipa iyo faini au niaje jamaa arudi tu mtaan labda mzunguki wa hela utaongezeka
 
Broo una Kuna andiko lolote kuhusu case yake? Nataka nisome nimjue
Case yake ilinguruma sana enzi hizo. alikuwa bilionea huyu wakili. Alikutwa na fedha nyingi sana kwenye gari yake (cash money), hapo hapo wakamtait waliokuwa wanamvizia..!
 
Case yake ilinguruma sana enzi hizo. alikuwa bilionea huyu wakili. Alikutwa na fedha nyingi sana kwenye gari yake (cash money), hapo hapo wakamtait waliokuwa wanamvizia..!
Ohooooo. Asante kwa taarifa
 
Bora washamkhuku maana hakuwa hata anapelekwa mahakamani.. Pole sana Wakili Medium Mwale.. pole mno.. sijui na akina Sioi na Harry Kitilya na shose Sinare wanaendelea je na kesi zao.......

Vumilieni bado kitambo kidogo giza sana jua asubuhi yakaribia
 
Duh
Mola atupe hekima yake walahi
 
hivi wakuu neno utakatishaji fedha lina maana gani maan muda mrefu nimekuwa nikilisikia na watu wanachukuliwa atua au hili tendo limekaa vip kifedha
 
unaoneka unaelimu nzuri ila zarau ndio nyingi angalia sn mienendo hy kweny maisha yako itakuvurugiaa vingi upuuzi masiaraa kibaoo ya kijinga na swalehe anahasara
Sory boss

Kutakatisha fedha ...

Ni kuwa na fedha nyingi ambazo hujazipata kihalali then mtu anaenda kuzitumia kwa mambo halali anachange the value of money so as to avoid to be seen as a culprit

Mfano serikali ikikuta wewe paap una bilion moja may be na unajua fika haujazipata kihalali ili uonekane ni zako for realy unazipeleka may be kununua shamba la hekari nyingi

Sory mkuu mi sina dharau naishi kwa kumheahimu kila mtu humu ndani na ni kweli na elimu kubwa nilikua sidhan kama ungereact hivi na nlkua najua may be tu ni unaleta masihara mkuu

Zaid zaid tuendelee kuijenga nchi yetu ...
 
Hii kesi nasikiaga ni ya kutengenezwa.
Wakubwa serikalini walitengeneza deal wakaliptisha kwa mwale.
Pesa ikatoka ughaibuni ilipoingia wakubwa wakataka watu wafanye wanjiwanji mpunga ugawanywe halafu kazi aifanye Mwale.
Mwale akagomea mzigo mpaka kazi iishe ndipo mwale akawawahi kwa kumtumia meneja wa crdb arusha enzi hizo akauhamisha mzigo kwenye acc nyingine kabla walami hawajazipitia.
Ndipo hapo walami serikalini walipoona wamezidiwa ujanja wakamtaiti yeye na meneja wa crdb.
Mke wa meneja wa crdb alikuwa anauza mahindi ya kuchoma dar baada ya kutelekezwa na mumewe alipopewa milion 200 na wakili mwale.
Hii kesi iliitwa WEKA UGOKO NIWEKE JIWE.
 
You take a soap

Then you take the moneys

Then water ...

Then you mix them

And thoroughly you wash them ...

Swalehe ndo kanambia hivyo ..
ha.ha..ha..ha...hili swala likitazamwa vizuri hakuna mtanzania atakaye baki japo wengi wanafikiri utakatishaji ni kwa fedha nyingi tu kumbe hata kwa fedha kidogo ziada zisizoeleweka.
 
Back
Top Bottom