Wakili Medium Mwale ahukumiwa kwenda jela miaka 5 kwa kosa la utakatishaji fedha


Hivi hii ndo hukumu yake baada ya kumfunga miaka yote hiyo? Uonevu tu! Na yale magari ya Mamilioni pale Police mnamrudishia au? maana kuna gari mpywa pale za thamani ya zaidi ya 200m "YAMEOZEA PALE HUWEZI AMINI"
 
hivi wakuu neno utakatishaji fedha lina maana gani maan muda mrefu nimekuwa nikilisikia na watu wanachukuliwa atua au hili tendo limekaa vip kifedha
Ni hivi mosi ni kuingiza pesa iliyopatikana isivyo halali katika mfumo halali wa fedha/matumizi pia kuingiza fedha halali katika matumiz yasiyo halali, mfano fedha halili kuingiziwa katika mfumo wa kufadhili ugaidi, au maharamia wapate fedha kwa utekaji wao kisha kwa mbinu kadha wa kadha kutumia fedha hizo kufanya biashara halali, mfano kufungua maduka nk.hyo ndo tafsir nyepesi niijuayo ,Tchao,muuza nyanya
 
Mke wa meneja wa crdb alikuwa anauza mahindi ya kuchoma dar baada ya kutelekezwa na mumewe alipopewa milion 200 na wakili mwale..
Laana ya huyo mke ndiyo imewafikisha hapo
 
Ili kuepuka utakatishaji fedha ukipata fedha isiyo halali unatakiwa uitumieje?
 
unaoneka unaelimu nzuri ila zarau ndio nyingi angalia sn mienendo hy kweny maisha yako itakuvurugiaa vingi upuuzi masiaraa kibaoo ya kijinga na swalehe anahasara
Neno
 
mkuu nashukuru umenielewesha vyema
 
Wakome, washenzi sana, wengine utajiri wetu wameshikilia wajinga na warafu wengine.
 
asante mkuu nimekupata vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…