Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence
Namnukuu Wakili Peter Madeleka kutoka mtandao X, anasemaUlichokiandika either hukijui au hutaki kukijua.
Anaruhisiwa kusimama mahakamani.
Nadhani huyo ni Wakili wa serikali, sio private advocate, ajapo Mahakamani amevaa joho la wakili namba moja (AG). mleta mada wewe ni mwanasheira kweli? kwamba hujui hili?View attachment 2942815Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili
No wonder nchi hii tunashindwa kesi zote tukiende kwenye Mahakama za Kimataifa kama ICSID.
Na RRR zakeKazi ziendelee. Hili nalo mwanasheria mkuu akalitazame upya
Una uhakika SOLICITOR GENERAL huyu hajaendesha keshi mahakamani miaka hiyo tajwa kabla ya kuteuliwa? hiyo ndio iwe hoja.Namnukuu Wakili Peter Madeleka kutoka mtandao X, anasema
"Ili mtu awe na SIFA za kuwa WAKILI MKUU WA SERIKALI, anatakiwa kuwa na UZOEFU wa KUENDESHA KESI MAHAKAMANI KWA MIAKA 15. Angalia AMRI namba 5(3) hapo 👇. Dr. BONIPHACE LUHENDE alisajiliwa kuwa WAKILI tarehe 6 DISEMBA 2013. Mwaka 2028 ndiyo ANGEKUWA na SIFA za kuwa WAKILI MKUU."
Soma hapa wewe Kihiyo:
View attachment 2942849
Mimi siyo Mwanasheria lakini Wanasheria wenye akili kuliko wewe akina Peter Madeleka (soma post #9), wanasema huyu hana sifanadhani huyo ni Wakili wa serikali, sio private advocate, ajapo Mahakamani amevaa joho la wakili namba moja (AG). mleta mada wewe ni mwanasheira kweli? kwamba hujui hili?
Soma Post # 9, au soma kiambatisho hiki:-una uhakika SOLICITOR GENERAL huyu hajaendesha keshi mahakamani miaka hiyo tajwa kabla ya kuteuliwa? hiyo ndio iwe hoja.
ila kama ni kuhuisha leseni, mawakili karibia wote wa serikali hawajahuisha leseni kwasababu hawafanyi kazi za private, wanasimama kwa gwanda la AG. na hicho ulichoweka kinahusiana na sifa za kuteuliwa, sio leseni ya kuwa wakili.
Tehetehe....hata oksijen prinsipo itatumika, wewe endelea kusoma tuvitabu twako, sheria is a living creatureKESI zote zilizoendeshwa na Dr. BONIPHACE LUHENDE akiwa WAKILI MKUU WA SERIKALI, ni BATILI kwa kuwa HANA SIFA chini ya AMRI Namba 5(3) ya SHERIA inaitwa “The Office of Solicitor General (Establishment) Order, 2018
kwenye appointment of a solicitor General, kinasema atakayeteuliwa awe ameendesha kesi mahakamani au kwenye tribunals miaka 15. hiyo ni qualification ili afae kuteuliwa. ndio nikauliza, kwani huyu jamaa hakuwa na miaka 15 ya practice kabla ya kuteuliwa? labda tuanzie hapo. (ukisoma icho 5(3).Soma Post # 9, au soma kiambatisho hiki:-View attachment 2942859
nadhani kuna umuhimu TLS tuwe tunawapa semina wasomi wapya kwenye practice, imagine angekuwa mahakamani afu anatoa hoja za aina hii ambazo hata wasio wanasheria wanaweza kuzitafsiri na kumchambua.Tehetehe....hata oksijen prinsipo itatumika, wewe endelea kusoma tuvitabu twako, sheria is a living creature