Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

View attachment 2942815
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.

Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili

No wonder nchi hii tunashindwa kesi zote tukiende kwenye Mahakama za Kimataifa kama ICSID.
Aibu ya Mahakama ipo wapi hapo?, acha ujinga kiongozi kama haufahamu jambo jifunze sio kukurupuka.

Ipo hivi Wakili yoyote ambaye haja renew leseni ya uwakili anakuwa.haruhusiwi kufanya shughuli za uwakili, ila haachi kuwa wakili sababu uwakili sio leseni bali kukuvaliwa na Mh. Jaji Mkuu.

Hapo ni swala la yeye ku renew leseni tu.

Lakini miaka ya sasa kumekuwa na jambo la mawakili wa serikali kutoku renew leseni zao hili linachagizwa na kuanzishwa kwa Orodha ya Mawakili wa Serikali.

Lakini kama ukiwa Wakili au Upande wa pili kwenye kesi na ukaweka pingamizi kuwa huyu wakilo wa serikali hana sifa za kufanya shighuli za uwakili Mahakamani unasikilizwa na ukikutana na Jaji mzuri utashinda hiyo P.O yako au hata Rufaa uliyoikata ikiwa kesi iliendeshwa na Wakili wa serikali ambaye haja renew leseni yake.

Sio pingamizi au sababu ya rufaa common dhidi ya serikali'/jamhuri ila ni sababu valid na strong sana. Mahakama ya Rufaa ya Juu uhakika wakutoboa ni 100%
 
Nadhani tatizo ni wewe huelewi tofauti ya wakili wa serikali na wa kujitegemea, uwe unaomba upewe elimu siyo kuleta ujuaji kwa vitu ambavyo huvijui
Mlete basi Boniface Luhende hapa ajitetee
 
Aibu ya Mahakama ipo wapi hapo?, acha ujinga kiongozi kama haufahamu jambo jifunze sio kukurupuka.

Ipo hivi Wakili yoyote ambaye haja renew leseni ya uwakili anakuwa.haruhusiwi kufanya shughuli za uwakili, ila haachi kuwa wakili sababu uwakili sio leseni bali kukuvaliwa na Mh. Jaji Mkuu.

Hapo ni swala la yeye ku renew leseni tu.

Lakini miaka ya sasa kumekuwa na jambo la mawakili wa serikali kutoku renew leseni zao hili linachagizwa na kuanzishwa kwa Orodha ya Mawakili wa Serikali.

Lakini kama ukiwa Wakili au Upande wa pili kwenye kesi na ukaweka pingamizi kuwa huyu wakilo wa serikali hana sifa za kufanya shighuli za uwakili Mahakamani unasikilizwa na ukikutana na Jaji mzuri utashinda hiyo P.O yako au hata Rufaa uliyoikata ikiwa kesi iliendeshwa na Wakili wa serikali ambaye haja renew leseni yake.

Sio pingamizi au sababu ya rufaa common dhidi ya serikali'/jamhuri ila ni sababu valid na strong sana. Mahakama ya Rufaa ya Juu uhakika wakutoboa ni 100%
Umeanza vibaya lakini umemaliza vizuri kwa kuunga mkono mada yangu. Boniface Luhende was incompetent
 
Ungekuwa Wakili ungekuwa umenielewa.

Uwwkili wa mtu hauondolewi kwa kutoku renew leseni ya uwakili bali kwa kufutwa kwenye orodha ya mawakili na Mh. Jaji Mkuu.

Nitakupa mfano Waheshimiwa Mahakimu Wakazi karibu wote.kwa sasa ni Mawakili lakini wengi wao hawajahuisha (renew) leseni zao za Uwakili bali wengi wame renew za Ukamishna wa Viapo na wamefanya hivyo sababu bado wanaapisha watu.

Siungani na hoja yako hata kwa nusu Mkuu sababu ni hoja ya uongo kiongozi.
 
Nimesoma mtiririko wa hoja zako kuanzia mwanzo, ulipofika hapa nikajua kabisa wewe si mwanasheria, na kama u mwanasheria, basi ni kanjanja tu.
Umetaka hoja, umepewa, umekimbilia habari za Mungu. Hopeless kabisa!
ni kwasababu tu huna akili ya kuelewa mzee, wenye ubongo wameshaelewa zamani.
 
Back
Top Bottom