Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wakili mkuu wa serikali - Ali Possi.Halafu wakili mkuu ni nani?
Mwanasheria Mkuu wa serikali - Hamza Johari.
Tuondokane na zile mentality kwamba AG anaenda moja kwa moja mahakamani, hiyo ni kazi ya Possi.
AG ni mshauri wa rais masuala yote ya sheria. Msiba wa Rais hautangazwi kwanza bila ya AG kushauriana na makamu pamoja na waziri mkuu.