Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Aliteuliwa na jiwe kua deputy SG, wakati wakili mkuu alikua Dr. Mashamba,Siyo kweli maza ndiyo alimteua 2022, Bonifasi namfahamu vizuri sn wakati yupo F6 sisi tupo F1 alikuwa teacher wetu wa mombo
Hapo sawaAliteuliwa na jiwe kua deputy SG, wakati wakili mkuu alikua Dr. Mashamba,
Ni kweli mama alimpandisha kua SG
Sio kweliHuyo ni mtumishi wa umma.
Mtandao huo ni kwa mawakili wa kujitegemea.
Aibu ya Mahakama ipo wapi hapo?, acha ujinga kiongozi kama haufahamu jambo jifunze sio kukurupuka.View attachment 2942815
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili
No wonder nchi hii tunashindwa kesi zote tukiende kwenye Mahakama za Kimataifa kama ICSID.
Possi Wakili Mkuu na Hamza Johari Mwanasheria MkuuHalafu wakili mkuu ni nani?
Umeanza vibaya lakini umemaliza vizuri kwa kuunga mkono mada yangu. Boniface Luhende was incompetentAibu ya Mahakama ipo wapi hapo?, acha ujinga kiongozi kama haufahamu jambo jifunze sio kukurupuka.
Ipo hivi Wakili yoyote ambaye haja renew leseni ya uwakili anakuwa.haruhusiwi kufanya shughuli za uwakili, ila haachi kuwa wakili sababu uwakili sio leseni bali kukuvaliwa na Mh. Jaji Mkuu.
Hapo ni swala la yeye ku renew leseni tu.
Lakini miaka ya sasa kumekuwa na jambo la mawakili wa serikali kutoku renew leseni zao hili linachagizwa na kuanzishwa kwa Orodha ya Mawakili wa Serikali.
Lakini kama ukiwa Wakili au Upande wa pili kwenye kesi na ukaweka pingamizi kuwa huyu wakilo wa serikali hana sifa za kufanya shighuli za uwakili Mahakamani unasikilizwa na ukikutana na Jaji mzuri utashinda hiyo P.O yako au hata Rufaa uliyoikata ikiwa kesi iliendeshwa na Wakili wa serikali ambaye haja renew leseni yake.
Sio pingamizi au sababu ya rufaa common dhidi ya serikali'/jamhuri ila ni sababu valid na strong sana. Mahakama ya Rufaa ya Juu uhakika wakutoboa ni 100%
Ungekuwa Wakili ungekuwa umenielewa.Umeanza vibaya lakini umemaliza vizuri kwa kuunga mkono mada yangu. Boniface Luhende was incompetent
ni kwasababu tu huna akili ya kuelewa mzee, wenye ubongo wameshaelewa zamani.Nimesoma mtiririko wa hoja zako kuanzia mwanzo, ulipofika hapa nikajua kabisa wewe si mwanasheria, na kama u mwanasheria, basi ni kanjanja tu.
Umetaka hoja, umepewa, umekimbilia habari za Mungu. Hopeless kabisa!
Kama una ubongo tumia vizuri, siyo ukifika wakati wa kuutumia unakimbilia kumtaja Mungu...ni kwasababu tu huna akili ya kuelewa mzee, wenye ubongo wameshaelewa zamani.