raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Wafanyabiashara sijui kwanini wana tabia ya kudhulumu dhulumu hata kama pesa anayo atapenda akuzungushe tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Lisu atafanya deni lipotee na kuwa faida?Au kuna miujiza mengine?Dawa ya deni kulipa.Msando akate rufaa ampe Tundu Lissu hiyo case ushindi asubhi na mapema kabis
Amewahi kuwa diwani kata ya Mabogini Moshi mjini (Chadema) baadaye utawala wa Rais Magufuli akaunga juhudi.Mahakama Kuu, imewaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji.
Hii ni baada ya mrufani wa kwanza, The Don’s Group Tanzania ya Jijini Arusha na Albert Msando na mkewe Jacquelene kushindwa rufaa waliyoifungua mahakama kuu, kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Albert Msando kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambapo yeye na mkewe ndiyo wamiliki wa klabu maarufu ya The Don’s Lounge ya Jijini Arusha inayofanya vizuri kibiashara katika jiji hilo la utalii.
Bahati Mgonja anayefanya biashara kwa jina la Y&H Mgonja Enterprises, alifungua kesi ya madai Mahakama ya Hakimu Arusha, akidai malimbikizo ya madai ya Sh181.2 milioni zilizotokana na deni la vinywaji aliowauzia wadaiwa hao.
Mwananchi
Pia, soma=> DC Msando adai atakata rufaa kuamriwa kulipa fidia ya 175M, asema mdai amemshtaki Msando badala ya kampuni yake in Habari na Hoja mchanganyiko
Bahati Mgonja anayefanya biashara kwa jina la Y&H Mgonja Enterprises, alifungua kesi ya madai Mahakama ya Hakimu Arusha, akidai malimbikizo ya madai ya Sh181.2 milioni zilizotokana na deni la vinywaji aliowauzia wadaiwa hao.Mahakama Kuu, imewaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji.
Hii ni baada ya mrufani wa kwanza, The Don’s Group Tanzania ya Jijini Arusha na Albert Msando na mkewe Jacquelene kushindwa rufaa waliyoifungua mahakama kuu, kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Albert Msando kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambapo yeye na mkewe ndiyo wamiliki wa klabu maarufu ya The Don’s Lounge ya Jijini Arusha inayofanya vizuri kibiashara katika jiji hilo la utalii.
Bahati Mgonja anayefanya biashara kwa jina la Y&H Mgonja Enterprises, alifungua kesi ya madai Mahakama ya Hakimu Arusha, akidai malimbikizo ya madai ya Sh181.2 milioni zilizotokana na deni la vinywaji aliowauzia wadaiwa hao.
Mwananchi
Pia, soma=> DC Msando adai atakata rufaa kuamriwa kulipa fidia ya 175M, asema mdai amemshtaki Msando badala ya kampuni yake in Habari na Hoja mchanganyiko
Albert Msando kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambapo yeye na mkewe ndiyo wamiliki wa klabu maarufu ya The Don’s Lounge ya Jijini Arusha inayofanya vizuri kibiashara katika jiji hilo la utalii.Duh!!
Malimbikizo ya deni zaidi ya milioni 181 sio mchezo....... kweli nchi hii bila unafiki haiendi.....
Sasa unajiita The Don halafu hutaki kulipa madeni ndio tabia gani hii?Albert Msando kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambapo yeye na mkewe ndiyo wamiliki wa klabu maarufu ya The Don’s Lounge ya Jijini Arusha inayofanya vizuri kibiashara katika jiji hilo la utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app