Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Yote kwa yote ningekuwa mm ndo Lembabaz saiv kuna mtu ningekuwa nimempoteza Duniani. Hlf wabongo tuache unafki kushadadia mambo za kijinga kibamia kibamia na hatujui size ya Dushee ya mtu ikisimama inafika ngapi. Au kibamia n nchi ngapi kwani ?
 
Maneno "wakili msomi" huwa yananikera sana na hutamkwa kishabiki zaidi ya uhalisia.
Kwani eng sio msomi!
Kaka ilo nno lisikutishe maana katika uwkili kuna watu ambao wanajua sheria na wanawez kumtetea mtu lkn hawajaisomea iyo sheria darasan sas kuwatofautisha ndo maan huyu anaitwa wakili msomi lkn sio iyo tafsir uliyonayo kichwani ya neno MSOMI!!
 
Sio kweli!
We Mashine ,mitungi ndio inajua kazi ya kata!
Kinatekenya tuu,lazima kizamee ndani ,ndio upate ule uhondo!
Labda apate K yenye kina kifupi sana!
Kiongozi ukipata mtoto wa kiume, na akawa na kibamia mpige kabisa ili kirefuke
 
Huwa inatakiwa uwe unakivutavuta na MAFUTA ya nazi angali mchanga !
Huwezi amini kinakua vizuri tuuu!
Hata wa kike wanavutwa clitoris inakuwa ndefu ,

Unaweza usinielewe!
Hahaha kiongozi huo muda unatoka wapi? Porn za kizungu zimewaharibu sana akina dada.

Unakuta mdada ameshapigwa na wanaume hamsini na bado anasema hajapata size yake.

Issue ni kufika kileleni au dushe liwe kubwa?
 
Hahaha kiongozi huo muda unatoka wapi? Porn za kizungu zimewaharibu sana akina dada.

Unakuta mdada ameshapigwa na wanaume hamsini na bado anasema hajapata size yake.

Issue ni kufika kileleni au dushe liwe kubwa?
Achana na mimi mda wa kazi huu!
Kama kula ni kulà tuu,haya!

Mimi nakupa solution wewe unaleta Ligi!
 
Nimemshangaa sana Alberto Msando. Kwanza kamsifia Lemutuz kwa style yake ya Maisha. Style ya maisha aliyoyachagua lemutuz ni ya teenagers na ameingia kucheza chandimu. Sasa msando unapowatolea povu mashabiki teenagers tena wa chandimu wanapomjibu Lemutuzi unakosea sana. Ukiingia kwenye chandimu usiyegemee wakuchezee kama VPL na hata mashabiki wake ni tofauti na VPL. Wewe ungemshauri rafiki yako katika umri alionao aachane na chandimu pamoja na maisha ya ni teenagers. Yale majibu anayoyapata ni halali kabisa kutokana na maisha aliyoyachagua mtu mzima. Angekua anashambuliwa na watu wazima kama akina Mbowe, pole pole kwa kweli tungesema anakosea lakini wale wanaomshambulia ndo hao wenye maisha aliyoyachagua.
inshort anashambuliwa na "wenzake "katka maisha Msando atulie tu
 
Kifupi mwanamke anayefeel kibamia, ujue papuchi yake haina uwezo wa kubana na kuachia, kitu ambacho kiliumbwa ndani ya papuchi, ndo mana Mungu aliacha ishu ya kuzaa kwa mwanamke, kwani alijua itakua na uwezo wa kubana na kuachia.
Sasa badala ya mwanamke kutafuta tiba ya uchi wake, wao hukimbilia kutafuta dushe na dildo kubwa, matokeo yake lawama huja kwa mwanaume.
mkuu uchi mdogo wa mwanaume upo na uchi mkubwa wa mwanamke upo .vile vile wanaume wenye miguu ya watoto wapo na wanawake wenye tundu za pua wapo.
Hoja yako haina mashiko kwamba mwanamke akikutana na okra ibane sawia na akikutana guu la mtoto abane sawia ! hapana bwana muhimu ukiwa na okra piga chenga nyingi tu umwagike viuno mpaka mtoto wa kike achanganyikiwe japo hapo kwa mauno mshikaji atafeli kwa jitambi lake .
 
Waafrika tukiambiwa ni shitholes tunalalamika lakini baadhi ya mambo yanayotufanya tuwe hivyo ni mambo kama haya;
1.Ubaguzi wa rangi tunaongoza,kwa kuwachukia watu weupe.Ni rahisi mweusi kuwa waziri ulaya lakini si mzungu Tanzania.
2.Tunaua Albino.Huu ni ubaguzi wa juu kabisa kuwahi kutokea duniani.Maana unaambatana na ushetani ni zaidi ya unyama.
3.Tunadhalilisha ubinadamu kwa maumbo yao,mfano hii ya vibamia,makalio makubwa,unene,n.k
4.Tunashangilia ukatili dhidi ya wengine kisa tu hawana itikadi kama zetu.Hapa sitasema sana
5.Wengi hatujitambui
Kwa nini mtu kama huyu hili neno shithole lisimfae?

katika wote humu waliotoa hoja nakupongeza sana kwa kueleza ukweli asante sana
 
naona wote nyinyi hamjui raha za mwanamke kwenye k.. zipo sehemu gani ukweli kwenye uchi wa mwanamke ni inch tatu tu kuingia ndani ndio utamu wake upo hapo mwanamke anasikia raha ni inch tatu tu kuna kila kitu hapo mpaka unaipata G sport kwahiyo hata kibamia kinamridhisha mwanamke sana tu ujue kuitafuta hiyo g spot ili mwanamke akojoe hata kama unayo kubwa kama mwanamke hajakojoa wewe ni bure tu sex ni ujanja ili mwenzako afike kileleni sio ukubwa
 
Kaka ilo nno lisikutishe maana katika uwkili kuna watu ambao wanajua sheria na wanawez kumtetea mtu lkn hawajaisomea iyo sheria darasan sas kuwatofautisha ndo maan huyu anaitwa wakili msomi lkn sio iyo tafsir uliyonayo kichwani ya neno MSOMI!!
Kwani kwenye u prof, au dr hamna wa ivo?!
 
Back
Top Bottom