Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

- hahahahahahahha! LE MUTUZ MOBIMBA! ...LE MUTUZ KOKOBANGA!....LE MUTUZ BOMA YEEE!! ....LE MUTUZ NYE! NYE! NYE! ...hahahahahahahha I loove this hahahahahahha U know!

le Mutuz
Hahaha Le King of Social Media Bongo

le KOKO BANGA funny Name!
 
Of course, hakuna kosa kuwa na kibamia. Its not anything you can control.

Having a small penis is not a crime. It does not define manhood. It does not make you a lesser man.

Being a man is alot different from just having a small penis. A penis just defines your gender.

Besides sexuality being a man is about how you stay the dominant sex, how you fend for your family, how you make ends meet, how you raise your family, how you make your presence felt and your purpose fulfilled in this world.
Ase.. Hili ni neno la kuponya. Nzuri sana hii kitu umeandika mkuu.
 
Hivi Le ni lugha gani na maana yake ni nn?Kokobanga ki100 naomba ujibu hiyo
 
Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii kulivuja video ambayo ilikuwa inamuonesha Mjasiriamali na mtu maarufu mitandaoni, Lemutuz akiwa utupu hatimaye Wakili Msomi Alberto Msando ametoa neno akimshauri jambo la kufanya katika kipindi hiki kigumu kwake.

Wakili Msando amesema kuwa tatizo sio kuonekana akiwa uchi bali tatizo linakuja pale watu wanavyotumia nafasi hiyo kumdhalilisha na kumdhihaki huku akimtaka Lemutuz akae kimya kwani ndio suluhisho pekee lililobakia.

Ushauri wangu (unaweza ukawa wa kipuuzi na usio na maana) ni mwepesi. Endelea na maisha yako. Pambana kuijenga Le Mutuz TV. Endelea kuelimisha na Straight Talks zako. Endelea kufurahia maisha. Usijibizane na wanaokutukana. Usiwashambulie wanaendelea kukudhalilisha. Fanya yale yanayokupendeza na kukufanya uwe bora zaidi. Na zaidi ya yote jifunze kutokana na hili.“ameandika Alberto Msando kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kwa upande mwingine Msando amesema tatizo sio kuwa na Kibamia (Tafsiri ya Kibamia ni uume mdogo) kwani kwenye jamii yetu wapo watu wengi wanaishi na vibamia ila amechukizwa na jinsi watu wanavyomshambulia.

Kosa sio ‘kibamia’ au kujifuta ulipotoka kuoga. Wengi sana wana ‘vibamia’ na wanaoga na kujifuta. Wengi wamekutana navyo na wanaishi navyo. Wala hakuna kosa kuwa na kibamia. Utu na heshima yako ni zaidi ya kila kitu. Ni huzuni kwamba unadhihakiwa, unadhalilishwa kwa sababu hiyo. Haya ndio mambo wengi wanayapenda na kufurahia,“ameandika Msando.

Soma ushauri wote wa Alberto Msando kwa Lemutuz hapa chini;

Kaka na rafiki yangu @lemutuz_superbrandtz; Nimetamani sana nikae kimya upambane na ‘msala’ wako mwenyewe. Lakini nimeshindwa. Nimeshindwa kwa sababu naelewa na najua inavyokuwa pale unapopitia unachopitia. I have been there.
Niseme kwamba kwa comments zote unaweza sasa kuelewa kiasi cha chuki dhidi yako. Kiasi cha furaha kwa maadui zako. Lakini ndani yake usiache kuona kiasi kidogo cha upendo na huzuni kutoka kwa marafiki zako.

Kosa lako ni kuruhusu kile ambacho wengi wanafanya kufika hadharani kwa kuwa karibu na kumpa nafasi aliyefikisha. Hilo ndio kosa lako la kwanza. “Kosa” la pili ni unavyoishi. Umeamua kuishi maisha yako vile ambavyo wewe mwenyewe umechagua. Kuna wengi wanakereka bila hata sababu. Ni maisha yako!

Kosa sio ‘kibamia’ au kujifuta ulipotoka kuoga. Wengi sana wana ‘vibamia’ na wanaoga na kujifuta. Wengi wamekutana navyo na wanaishi navyo. Wala hakuna kosa kuwa na kibamia. Utu na heshima yako ni zaidi ya kila kitu. Ni huzuni kwamba unadhihakiwa, unadhalilishwa kwa sababu hiyo. HAYA NDIO MAMBO WENGI WANAYAPENDA NA KUFURAHIA. Sad.

Ushauri wangu (unaweza ukawa wa kipuuzi na usio na maana) ni mwepesi. Endelea na maisha yako. Pambana kuijenga Le Mutuz TV. Endelea kuelimisha na Straight Talks zako. Endelea kufurahia maisha. Usijibizane na wanaokutukana. Usiwashambulie wanaendelea kukudhalilisha. Fanya yale yanayokupendeza na kukufanya uwe bora zaidi.
Na zaidi ya yote JIFUNZE kutokana na hili.




Bongo 5

- Mwanaamke unalilia Kibamia ina maana una nini huko chini? Kisima? hahahahahahahahaha na kama ni Mwanaume naomba niishie hapa maana itakuwa aibu hahahahahaha

Le Mutuz Mobimba
 
- Mwanaamke unalilia Kibamia ina maana una nini huko chini? Kisima? hahahahahahahahaha na kama ni Mwanaume naomba niishie hapa maana itakuwa aibu hahahahahaha

Le Mutuz Mobimba
Le kokobanga ..le bamueee le nye nye nyeee,, hatuna visima lakin hako kadudu kako hakagusi mwisho ,,punguza hilo tumbo kubwa mno
Le kokobanga hujui hapa navyolia juu yako nilipanga nikutafute nimeumia sana bamuyeee le nye nye nyeee
 
Back
Top Bottom