Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu ambazo zinaweza kusababisha Kamati hiyo kushindwa kufanya kazi yake kwa uhuru.

Chanzo: Clouds FM
 
So, No Reforms, No Election ni wimbo wa Taifa kumbe?!??
Kwa Tanzania, taasisi pekee isiyohitaji reforms ni nini!!???
Hakuna.
Hakuna.
Hakuna.
 
Muhimu tu tusimuone Karia na lile tumbo lake akichukua fomu. Mihula miwili kwake inamtosha sana. Ni wakati wake sasa wa kwenda kufanya shughuli nyingine. Aiche TFF kwa watu wenye mpira wao.
 
Nchi imechafuka hii. Kila kitengo ni NO REFORMS NO ELECTION. Mweh!
 
Back
Top Bottom