Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu ambazo zinaweza kusababisha Kamati hiyo kushindwa kufanya kazi yake kwa uhuru.
Muhimu tu tusimuone Karia na lile tumbo lake akichukua fomu. Mihula miwili kwake inamtosha sana. Ni wakati wake sasa wa kwenda kufanya shughuli nyingine. Aiche TFF kwa watu wenye mpira wao.