LGE2024 Wakili Msomi atangaza kugombea Uenyekiti wa Kijiji kijijini kwao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

Screenshot_2024-10-28-23-07-35-1.png
Screenshot_2024-10-28-23-07-26-1.png
Screenshot_2024-10-28-23-07-01-1.png
Screenshot_2024-10-28-23-06-53-1.png
Screenshot_2024-10-28-23-08-09-1.png
 
Nadhani kati ya makosa makubwa sana niliyofanya ujanani mwangu ni lile la kutokutaka kujihusisha na siasa. Nilijihusisha na siasa kwa muda mfupi sana wakati wa uchaguzi wa 1995 tu. Wanasiasa wetu wameidudumiza sana jamii yetu kiasi kuwa hadi leo raia wetu hawajui kuwa wao ndio waajiri wa serikali. Raia wanaambiwa tu kuwa rais katoa hela bila hata kujua kuwa hel hizo siyo za rais bali ni zao. Wanachukulia kuwa rais katoa fadhila jambo ambalo siyo kweli.
 
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Nearly 4 yrs to go.

Bado mnapambana na marehemu
 
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Sera yenu ni kumponda magufuli Sasa hata huo uenyekiti mmeukosa
 
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Kwani kutakuwa na uchaguzi?
 
Huwa sipendi Magufuli atajwe kwa ubaya, alishakufa mwacheni apumzike.

Hoja hata kama ni nzuri huwa nikikuta kuna kumponda Magu, basi huiruka thread nzima na kupoteza uhuru wa kuchangia.
 
Nyie watu ni wapumbavu sana. Magufuli akisifiwa kwa kazi zake wala hamsemi kuwa acheni kumsifia mumuache apumzike.

Tunapotaja ushenzi na maovu yake mnang'aka kuwa muacheni apumzike. Huu ni upumbavu tu. Hatuwezi kukaa kimya kutaja maovu aliyofanyia Taifa letu hadi Mungu akatusaidia kumtoa madarakani mwaka 2021.

Kimsingi kila mtu ashinde mechi zake au both side to score, wasomaji wataamua
 
Haya shinda hizo mechi zako kuna aliyekushika!
 
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Mkombozi Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Sasa anagombea uenyekiti wa Kijiji. Huoni hiyo ni demotion Erythrocyte
 
Nyie watu ni wapumbavu sana. Magufuli akisifiwa kwa kazi zake wala hamsemi kuwa acheni kumsifia mumuache apumzike.

Tunapotaja ushenzi na maovu yake mnang'aka kuwa muacheni apumzike. Huu ni upumbavu tu. Hatuwezi kukaa kimya kutaja maovu aliyofanyia Taifa letu hadi Mungu akatusaidia kumtoa madarakani mwaka 2021.

Kimsingi kila mtu ashinde mechi zake au both side to score, wasomaji wataamua
Unajitekenya na kucheka mwenyewe ujue.

Kama wasomaji wataamua kwanini unitusi?

Magufuli alitugawa kimsimamo kutokana na utendaji wake, wengine tulimpenda sanaaa na wegine mlimchukia.

Hisia za kupenda ama kuchukia ni za kibinafsi tena za ndani sana haziwezi kubadilishwa kwa matusi ama kwa kampeni ya haters.

Kwa hiyo hata mwenyewe hapo ukiona mtu umpendaye akidhalilishwa utajikalia tu kimya?

Kafa kweli sikatai, je ombwe lake linezibwa na nani unayeweza kumtaja kwa jina?

Tunasema kuwa kuchukia mtu aliyekwishakufa ni kuonesha dhahiri udhaifu wa kushindwa.

Aliwashinda akiwa hai na sasa anaendelea kuwashinda akiwa kaburini.
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe ujue.

Kama wasomaji wataamua kwanini unitusi?

Magufuli alitugawa kimsimamo kutokana na utendaji wake, wengine tulimpenda sanaaa na wegine mlimchukia.

Hisia za kupenda ama kuchukia ni za kibinafsi tena za ndani sana haziwezi kubadilishwa kwa matusi ana kwa kampeni ya haters.

Kwa hiyo hata mwenyewe hapo ukiona mtu umpendaye akidhalilishwa utajikalia tu kimya?

Kafa kweli sikatai, je ombwe lake linezibwa na nani unayeweza kumtaja kwa jina?

Tunasema kuwa kuchukia mtu aliyekwishakufa ni kuonesha dhahiri udhaifu wa kushindwa.

Aliwashinda akiwa hai na sasa anaendelea kuwashinda akiwa kaburini.
Hakuna ombwe kwenye kufa Magufuli. Tanzania ilikuwapo kabla Magufuli hakuwa Rais na itaendelea kuwapo.

Magufuli aliwa BRAINWASH kwa kauli zake kuwa toka tupate uhuru yeye ndiye kafanya makubwa kuliko akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwette. Na nyinyi mlivyo na akili ya mende mukamuanini.

Mshenzi yule alikufuru kwa kusema akifa yeye hakuna atakayejenga miundombinu. Mungu akamsikia na akamtanguliza ahera. Huku miundombinu inajengwa kila kukicha.

Wewe unaongelea kuziba ombwe?? Ombwe gani sasa la kuziba ??
 
Back
Top Bottom