LGE2024 Wakili Msomi atangaza kugombea Uenyekiti wa Kijiji kijijini kwao

LGE2024 Wakili Msomi atangaza kugombea Uenyekiti wa Kijiji kijijini kwao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wazo zuri, tuwe na viongozi wasomi kuanzia hizi ngazi za chini, itasaidia sana kufumbua fikra za wananchi!
 
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.

Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.

Taarifa Kamili hii hapa

View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
duuuh ataweza kuwa mnyenyekevu kweli?
 
Ni aibu kwa kweli!! Ni kutojiamini! Sijui huwa wanatarajia majibu kutoka kwa nani?
 
Back
Top Bottom