Hakuna ombwe kwenye kufa Magufuli. Tanzania ilikuwapo kabla Magufuli hakuwa Rais na itaendelea kuwapo.
Magufuli aliwa BRAINWASH kwa kauli zake kuwa toka tupate uhuru yeye ndiye kafanya makubwa kuliko akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwette. Na nyinyi mlivyo na akili ya mende mukamuanini.
Mshenzi yule alikufuru kwa kusema akifa yeye hakuna atakayejenga miundombinu. Mungu akamsikia na akamtanguliza ahera. Huku miundombinu inajengwa kila kukicha.
Wewe unaongelea kuziba ombwe?? Ombwe gani sasa la kuziba ??