Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sanaI like his zeal!
HakikaSafi! Nimeipenda hii
Nearly 4 yrs to go.Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Sera yenu ni kumponda magufuli Sasa hata huo uenyekiti mmeukosaKwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Kwani kutakuwa na uchaguzi?Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Hakika jamaa alikuwa ni Mwamba kweli kweli!Nearly 4 yrs to go.
Bado mnapambana na marehemu
Huwa sipendi Magufuli atajwe kwa ubaya, alishakufa mwacheni apumzike.Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Nyie watu ni wapumbavu sana. Magufuli akisifiwa kwa kazi zake wala hamsemi kuwa acheni kumsifia mumuache apumzike.Huwa sipendi Magufuli atajwe kwa ubaya, alishakufa mwacheni apumzike.
Hoja hata kama ni nzuri huwa nikikuta kuna kumponda Magu, basi huiruka thread nzima na kupoteza uhuru wa kuchangia.
Haya shinda hizo mechi zako kuna aliyekushika!Nyie watu ni wapumbavu sana. Magufuli akisifiwa kwa kazi zake wala hamsemi kuwa acheni kumsifia mumuache apumzike.
Tunapotaja ushenzi na maovu yake mnang'aka kuwa muacheni apumzike. Huu ni upumbavu tu. Hatuwezi kukaa kimya kutaja maovu aliyofanyia Taifa letu hadi Mungu akatusaidia kumtoa madarakani mwaka 2021.
Kimsingi kila mtu ashinde mechi zake au both side to score, wasomaji wataamua
Sasa anagombea uenyekiti wa Kijiji. Huoni hiyo ni demotion ErythrocyteKwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Mkombozi Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Unajitekenya na kucheka mwenyewe ujue.Nyie watu ni wapumbavu sana. Magufuli akisifiwa kwa kazi zake wala hamsemi kuwa acheni kumsifia mumuache apumzike.
Tunapotaja ushenzi na maovu yake mnang'aka kuwa muacheni apumzike. Huu ni upumbavu tu. Hatuwezi kukaa kimya kutaja maovu aliyofanyia Taifa letu hadi Mungu akatusaidia kumtoa madarakani mwaka 2021.
Kimsingi kila mtu ashinde mechi zake au both side to score, wasomaji wataamua
Exactly, tusipangiane cha kuponda au kusifia. NyanaaaaafHaya shinda hizo mechi zako kuna aliyekushika!
Hakuna ombwe kwenye kufa Magufuli. Tanzania ilikuwapo kabla Magufuli hakuwa Rais na itaendelea kuwapo.Unajitekenya na kucheka mwenyewe ujue.
Kama wasomaji wataamua kwanini unitusi?
Magufuli alitugawa kimsimamo kutokana na utendaji wake, wengine tulimpenda sanaaa na wegine mlimchukia.
Hisia za kupenda ama kuchukia ni za kibinafsi tena za ndani sana haziwezi kubadilishwa kwa matusi ana kwa kampeni ya haters.
Kwa hiyo hata mwenyewe hapo ukiona mtu umpendaye akidhalilishwa utajikalia tu kimya?
Kafa kweli sikatai, je ombwe lake linezibwa na nani unayeweza kumtaja kwa jina?
Tunasema kuwa kuchukia mtu aliyekwishakufa ni kuonesha dhahiri udhaifu wa kushindwa.
Aliwashinda akiwa hai na sasa anaendelea kuwashinda akiwa kaburini.