Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Hiyo ni MISUSE OF PROFESSIONAL RESOURCES. Sasa nina amini yule Dr wa Hospitali ya Afya ya Akili MILEMBE aliposema kila binadamu ni KICHAA tumetofautiana KIWANGO. Sasa nimeamini.Sasa anagombea uenyekiti wa Kijiji. Huoni hiyo ni demotion Erythrocyte
Hiyo ni MISUSE OF PROFESSIONAL RESOURCES. Sasa nina amini yule Dr wa Hospitali ya Afya ya Akili MILEMBE aliposema kila binadamu ni KICHAA tumetofautiana KIWANGO. Sasa nimeamini.
Magufuli alaaniwe popote alipo. Kwanza aliiba sana pesa za nchi na kusificha kwake kwa masandarisi ma sasa zinatoka kupitia mwanae kwa kuhonga wati pikipiki.Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani kwa tiketi ya Chadema.
Taarifa Kamili hii hapa
View attachment 3137715View attachment 3137716View attachment 3137717View attachment 3137718View attachment 3137719
Na hatafutika kwa sabanu alituharibia nchi kiuchumi, kisiasa na kijamiiNearly 4 yrs to go.
Bado mnapambana na marehemu
Ndonikasema kila mtu anavyoamini yupo sahihi.Hakuna ombwe kwenye kufa Magufuli. Tanzania ilikuwapo kabla Magufuli hakuwa Rais na itaendelea kuwapo.
Magufuli aliwa BRAINWASH kwa kauli zake kuwa toka tupate uhuru yeye ndiye kafanya makubwa kuliko akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwette. Na nyinyi mlivyo na akili ya mende mukamuanini.
Mshenzi yule alikufuru kwa kusema akifa yeye hakuna atakayejenga miundombinu. Mungu akamsikia na akamtanguliza ahera. Huku miundombinu inajengwa kila kukicha.
Wewe unaongelea kuziba ombwe?? Ombwe gani sasa la kuziba ??
AmenTunamtakia kila la heri kwenye jitihada zake za kuwatumikia wananchi.
Law SchoolHuo uwakili aliupatia wapi?
Ana stress huyoI like his zeal!
Wananchi tumefanywa Mabwege sana!Nadhani kati ya makosa makubwa sana niliyofanya ujanani mwangu ni lile la kutokutaka kujihusisha na siasa. Nilijihusisha na siasa kwa muda mfupi sana wakati wa uchaguzi wa 1995 tu. Wanasiasa wetu wameidudumiza sana jamii yetu kiasi kuwa hadi leo raia wetu hawajui kuwa wao ndio waajiri wa serikali. Raia wanaambiwa tu kuwa rais katoa hela bila hata kujua kuwa hel hizo siyo za rais bali ni zao. Wanachukulia kuwa rais katoa fadhila jambo ambalo siyo kweli.
Shetani anatajwa kabla babu yako hajazaliwa na anaendelea kutajwa hadi leoNearly 4 yrs to go.
Bado mnapambana na marehemu
Ataendelea kupondwa hadi apondekeSera yenu ni kumponda magufuli Sasa hata huo uenyekiti mmeukosa
Endelea kumliliaHuwa sipendi Magufuli atajwe kwa ubaya, alishakufa mwacheni apumzike.
Hoja hata kama ni nzuri huwa nikikuta kuna kumponda Magu, basi huiruka thread nzima na kupoteza uhuru wa kuchangia.
Basi bado sana, hawezi kuwa wakili bila kuapishwa na Jaji Mkuu, watu wa chadema wengi wapotoshajiLaw School
Sema bahati nzuri wanaomponda hawakubariki na watanzania kiufupi wamefeli siasa za bongo wanatafuta sababu ya kukimbia nchiAtaendelea kupondwa hadi apondeke
Hujui kituSema bahati nzuri wanaomponda hawakubariki na watanzania kiufupi wamefeli siasa za bongo wanatafuta sababu ya kukimbia nchi
Nyie ndo hamjui kwamba hamjui mliitisha maandamano hakuna hata moja aliandamana kusoma hamjui hata picha hamuoni?Hujui kitu
Polisi ndio waliandamana na yale mauaji ya kibwege yamekomeshwaNyie ndo hamjui kwamba hamjui mliitisha maandamano hakuna hata moja aliandamana kusoma hamjui hata picha hamuoni?
Subirini atakavyogaragazwa na msomi wa darasa la sabaLaw School