Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo.
Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita Rais, Rais, Rais, Rais.
Kwa hakika nathubutu kusema mioyo ya Watanzania wengi inazidi kuvutiwa na Wakili huyu.