Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo.

Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita Rais, Rais, Rais, Rais.

Kwa hakika nathubutu kusema mioyo ya Watanzania wengi inazidi kuvutiwa na Wakili huyu.
Ila asidanganyike na hilo kundi lililomuita rais.. Abaki kwenye focus yake.. Kuwa rais sio jambo la mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sapoti kiduchu qnayopata Mwabukusi, Sasa hivi atakata upepo na kutokomea huko Busokelo
 
Ila usalama wetu wa taifa ungekuwa unafuata matakwa ya wananchi na nani anafaa kuliongoza taifa kwa sasa this man is presidential material wa viwango vya juu sana
Kabisa Mkuu, nakubaliana na wewe asilimia 100.
 
Yeyote atakayekubsliea na jamii ktk uchaguzi hasa Ile utakaosimamiwa na tume huru ya uchaguzi
 
Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo.

Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita Rais, Rais, Rais, Rais.

Kwa hakika nathubutu kusema mioyo ya Watanzania wengi inazidi kuvutiwa na Wakili huyu.
Mbwabwajaji tu kama wengine

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ya sasa inahitaji watu kaliba ya wakili Boniface Mwabukusi, wanaume wa shoka, akiongea mijizi na mifisadi yote ya mali za Umma inatetemeka popote pale ilipo.
Mungu ambariki sana Rais wetu ajaye Mwabukusi,
Amina.
Sema rais wako hujatumwa kuwakilisha watz

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ya sasa inahitaji watu kaliba ya wakili Boniface Mwabukusi, wanaume wa shoka, akiongea mijizi na mifisadi yote ya mali za Umma inatetemeka popote pale ilipo.
Mungu ambariki sana Rais wetu ajaye Mwabukusi,
Amina.
Viva BAK Mwabukusi
 
Back
Top Bottom