Pre GE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgombea mmoja ametuhumiwa kuwahonga msimamizi na wapiga kura. Si unaikumbuka ile sikendo ya makreti ya bia.

Btw, mgombea mmoja aliandika barua ya malalamiko kwa K/M!
Msimamizi wa Uchaguzi kwenye uchaguzi huru na haki anawezaje kubadili matokeo?
 
Huko rushwa (aliyoisema Lissu) haikutembea kama kule kwa akina Msigwa vs Sugu?
Hayo mambo tumemiachieni huko kwenu,japo mlifanya majaribio ya kupenyeza penyeza tupesa pesa twenu,sisi mambo yetu ya msingi ni zaidi ya tupesa pesa twenu tena twakukwapua🤣
 
Mbona alibadilishwa?
Aliomba kukaa pembeni baada ya kutuhumiwa ili waliomtuhumu waridhike, lakini hakuwa na uwezo wa kupanga safu yake

Halafu huu uchaguzi wa cdm unasimamiwa na viongozi wa chadema, kwahiyo tusitegemee wanuniane, watasalimiana tu maana wanajuana na wako pamoja miaka mingi, Uchaguzi si uadui
 
Uchaguzi si uadui Msigwa na Sugu ni ndugu Wote baba yao ni Jah people wa Makambako 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…