Pre GE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

Pre GE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliomba kukaa pembeni baada ya kutuhumiwa ili waliomtuhumu waridhike, lakini hakuwa na uwezo wa kupanga safu yake

Halafu huu uchaguzi wa cdm unasimamiwa na viongozi wa chadema, kwahiyo tusitegeme3 wanuniane, watasalimiana tu maana wanajuana na wako pamoja miaka mingi, Uchaguzi si uadui
Mkuu kwani kuna vyama ambavyo chaguzi zao ndani ya Chama zinagubikwa na Rushwa, utengano, vifo na aina yeyote ya kuto aminiana?
 
Jamani sio kwa ubaya tupeane elimu tu, hivi kuitwa WAKILI MSOMI inamaanisha nini? kwanini sio kuitwa Wakili tu hili wakili msomi ni lengo lake, maana kazi yoyote za weledi zinahitaji elimu sio uwakili tu. Au kuna kitu sielewi
 
Kwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?

Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
 
Kwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?

Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
Ukiwa unaelewa maana ya sii hasa hata shida hamna,jifunze kidogo sii hasa za ulaya na Amerika, kuhusiana na Urusi,North Korea,Iran,Mashariki ya kati, na Ukrain ,Gaza na Israel utajua maana ya siii hasa.
 
Ndio unaofuatia sasa , wakati wa kuchukua fomu utatangazwa njoo uchukue
Ukichukua wewe inatosha.

Dhamira haikuwa kukandia Mbowe ama CHADEMA bali ujumla wa unafiki wa siasa yote ya kiafrika. So don't take it personal ma'am.
 
Hayo mambo tumemiachieni huko kwenu,japo mlifanya majaribio ya kupenyeza penyeza tupesa pesa twenu,sisi mambo yetu ya msingi ni zaidi ya tupesa pesa twenu tena twakukwapua🤣
Mwambie basi lisu aombe radhi kwa kukidharirisha chama. Makamu mwenyekiti anatamka hadharani, tena mchana kweupe, wewe inakuwaje upinge?
 
Mwambie basi lisu aombe radhi kwa kukidharirisha chama. Makamu mwenyekiti anatamka hadharani, tena mchana kweupe, wewe inakuwaje upinge?

..Lissu alituhumu fedha chafu zimetoka kwa Abdul / Mama / Ccm.

..Je, waliotuhumiwa kuwahonga Chadema wamekanusha?

..Je, Takukuru inaweza kuchunguza waliopokea fedha, pamoja na waliotoa fedha?
 
..Lissu alituhumu fedha chafu zimetoka kwa Abdul / Mama / Ccm.

..Je, waliotuhumiwa kuwahonga Chadema wamekanusha?

..Je, Takukuru inaweza kuchunguza waliopokea fedha, pamoja na waliotoa fedha?
Alienda kuripoti Takukuru ili wafanye uchunguzi?
 
Alienda kuripoti Takukuru ili wafanye uchunguzi?

..hakwenda Takukuru.

..Je, Abdul, na Mama yake, wamekanusha kuwahonga Chadema?

..Tukiwalaumu Chadema peke yao tutakuwa hatujatimiza wajibu wetu kikamilifu.

..Abdul na Mama yake wanapaswa kudhibitiwa maana hizo fedha wanazohonga uwezekano mkubwa ni za umma. Au fedha ni zilizopatikana kwa njia haramu kutokana na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Back
Top Bottom