UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Takukuru wanaweza kuchunguza hata porojo za kwenye majukwaa bila taarifa kamili?Huwa taarifa mpaka uende TAKUKURU? Umepitia kazi ya takukuru ni pamoja na kunusa harufu ya rushwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takukuru wanaweza kuchunguza hata porojo za kwenye majukwaa bila taarifa kamili?Huwa taarifa mpaka uende TAKUKURU? Umepitia kazi ya takukuru ni pamoja na kunusa harufu ya rushwa?
Kama wewe una taarifa kamili si upeleke taarifa rasmi Takukuru!..hakwenda Takukuru.
..Je, Abdul, na Mama yake, wamekanusha kuwahonga Chadema?
..Tukiwalaumu Chadema peke yao tutakuwa hatujatimiza wajibu wetu kikamilifu.
..Abdul na Mama yake wanapaswa kudhibitiwa maana hizo fedha wanazohonga uwezekano mkubwa ni za umma. Au fedha ni zilizopatikana kwa njia haramu kutokana na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa nini?..hakwenda Takukuru.
Kama wewe una taarifa kamili si upeleke taarifa rasmi Takukuru!
Ukiwa na angalau kaushahidi kidogo si uwapenyezee ili wapate pa kuanzia!
Wataanzia wapi uchunguzi bila kupewa taarifa? Au unataka kila wakisikia porojo za mitandaoni na majukwaani wanaanza kufanyia uchunguzi? Sijui kama kuna taasisi yoyote inafanya kazi kwa njia huyo!
Peleka taarifa kamili Takukuru, ukatoe na ushahidi kidogo ili uchunguzi ufanywe. Unataka watu wakamatwe kwa porojo za mitandaoni? Hivi nyie watu vipi?..fedha chafu zinatoka kwa Abdul na Mama yake. Takukuru waende wakawakamate.
Watajuaje ni porojo bila kufanya uchunguzi? Taarifa kamili wanapata wao siyo kuletewa...taarifa kamili kwako inaweza kuwa porojo kwao na porojo kwako inaweza kuwa taarifa kamili kwao, hivyo nakushauri upitie sheria iliyoanzisha TAKUKURU pamoja na majukumu yao.Takukuru wanaweza kuchunguza hata porojo za kwenye majukwaa bila taarifa kamili?
How?Awe na upendeleo kwenye usimamizi wake kwa kumfeva, au hata kumfanyia kampeni mgombea aliyemkatia cha juu.
Moja ya malalamiko ya Msigwa ni msimamizi kuwapigia simu wajumbe na kuwataka wampigie kura sugu. Wewe hujaiona hiyo?How?
Ukitaka Mbowe apandishe majini ya kimachame na kunywa damu ya Lissu,basi lissu atangaze kugombea ucheamaniKwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?
Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
Mgombea mmoja ametuhumiwa kuwahonga msimamizi na wapiga kura. Si unaikumbuka ile sikendo ya makreti ya bia.
Btw, mgombea mmoja aliandika barua ya malalamiko kwa K/M!
Umbea gani wakati dondoo za malalamiko yake ziliwekwa hapa jukwaani?Acha umbea
Matokeo ya kanda uitangazie dunia kweli? Vipi huko hapakuwa na rushwa kama kanda kwa akina Wenje na kule kwa akina Sugu?
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3003301
Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa