Mkuu kwani kuna vyama ambavyo chaguzi zao ndani ya Chama zinagubikwa na Rushwa, utengano, vifo na aina yeyote ya kuto aminiana?Aliomba kukaa pembeni baada ya kutuhumiwa ili waliomtuhumu waridhike, lakini hakuwa na uwezo wa kupanga safu yake
Halafu huu uchaguzi wa cdm unasimamiwa na viongozi wa chadema, kwahiyo tusitegeme3 wanuniane, watasalimiana tu maana wanajuana na wako pamoja miaka mingi, Uchaguzi si uadui
Huko cdm ndio Kuna chaguzi za kidemokrasia kweli, sio huko kwenu mtu anapata kura 100%. Zile chaguzi za kipuuzi zibaki huko huko ccm, wao cdm inatakiwa wadhibitishe jina lao.Ilikuwa busara kutuonesha safari ya Matata kisiasa - (biography)
Malizia ulaji kwa kamba ndeeefu zaidi 🤓Ccm uchaguzi ni vita ni ulaji
Ukiwa unaelewa maana ya sii hasa hata shida hamna,jifunze kidogo sii hasa za ulaya na Amerika, kuhusiana na Urusi,North Korea,Iran,Mashariki ya kati, na Ukrain ,Gaza na Israel utajua maana ya siii hasa.Kwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?
Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
Ndio unaofuatia sasa , wakati wa kuchukua fomu utatangazwa njoo uchukueKwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?
Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
Ili kuondoa sintofahamu kwa mgombea aliye na mashaka naeMbona alibadilishwa?
Ukichukua wewe inatosha.Ndio unaofuatia sasa , wakati wa kuchukua fomu utatangazwa njoo uchukue
Mbona nimekujibu kama ulivyouliza tu, humu hatujawahi kuogopa kukandiwa, kuwa na amaniukichukua wewe inatosha.
Dhamira haikuwa kukandia Mbowe ama CHADEMA bali ujumla wa unafiki wa siasa yote ya kiafrika. So don't take it personal ma'am.
Hivi ilikuaje Kamanda Lissu kusema CHADEMA tuna pesa chafu?Kule nani alitoa rushwa na alimpa nani?
Kuwezesha wanafunzi kujifunza masomo ya Physics, Chemistry, na Biology wanapokuwa high school 😄😄PCB kazi yeke nini?
Hiyo inaonyesha tuhuma zilikuwa za kweliNa Mrema akaondolewa kusimamia Uchaguzi akaletwa Benson Kigaila
Awe na upendeleo kwenye usimamizi wake kwa kumfeva, au hata kumfanyia kampeni mgombea aliyemkatia cha juu.Ahongwe ili afanye nini?
Mwambie basi lisu aombe radhi kwa kukidharirisha chama. Makamu mwenyekiti anatamka hadharani, tena mchana kweupe, wewe inakuwaje upinge?Hayo mambo tumemiachieni huko kwenu,japo mlifanya majaribio ya kupenyeza penyeza tupesa pesa twenu,sisi mambo yetu ya msingi ni zaidi ya tupesa pesa twenu tena twakukwapua🤣
Mwambie basi lisu aombe radhi kwa kukidharirisha chama. Makamu mwenyekiti anatamka hadharani, tena mchana kweupe, wewe inakuwaje upinge?
Alienda kuripoti Takukuru ili wafanye uchunguzi?..Lissu alituhumu fedha chafu zimetoka kwa Abdul / Mama / Ccm.
..Je, waliotuhumiwa kuwahonga Chadema wamekanusha?
..Je, Takukuru inaweza kuchunguza waliopokea fedha, pamoja na waliotoa fedha?
Alienda kuripoti Takukuru ili wafanye uchunguzi?
Huwa taarifa mpaka uende TAKUKURU? Umepitia kazi ya takukuru ni pamoja na kunusa harufu ya rushwa?Alienda kuripoti Takukuru ili wafanye uchunguzi?