Pre GE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama wewe una taarifa kamili si upeleke taarifa rasmi Takukuru!
Ukiwa na angalau kaushahidi kidogo si uwapenyezee ili wapate pa kuanzia!
Wataanzia wapi uchunguzi bila kupewa taarifa? Au unataka kila wakisikia porojo za mitandaoni na majukwaani wanaanza kufanyia uchunguzi? Sijui kama kuna taasisi yoyote inafanya kazi kwa njia huyo!
 

..fedha chafu zinatoka kwa Abdul na Mama yake. Takukuru waende wakawakamate.
 
..fedha chafu zinatoka kwa Abdul na Mama yake. Takukuru waende wakawakamate.
Peleka taarifa kamili Takukuru, ukatoe na ushahidi kidogo ili uchunguzi ufanywe. Unataka watu wakamatwe kwa porojo za mitandaoni? Hivi nyie watu vipi?
 
Takukuru wanaweza kuchunguza hata porojo za kwenye majukwaa bila taarifa kamili?
Watajuaje ni porojo bila kufanya uchunguzi? Taarifa kamili wanapata wao siyo kuletewa...taarifa kamili kwako inaweza kuwa porojo kwao na porojo kwako inaweza kuwa taarifa kamili kwao, hivyo nakushauri upitie sheria iliyoanzisha TAKUKURU pamoja na majukumu yao.

Hii ni sawasawa na polisi kukuta mali za wananchi zinaaribiwa alafu wanasubiri taarifa kutoka kwa mtu aliyepoteza Mali zake.
 
Kwenye kiti cha mwenyekiti taifa kukoje? Au Mbowe anapita bila kupingwa?

Siasa za kiafrika ni unafiki mtupu.
Ukitaka Mbowe apandishe majini ya kimachame na kunywa damu ya Lissu,basi lissu atangaze kugombea ucheamani
 
Muonekano tu, lafudhi yake ni Brother K wa Futuhi.
 
Matokeo ya kanda uitangazie dunia kweli? Vipi huko hapakuwa na rushwa kama kanda kwa akina Wenje na kule kwa akina Sugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…