Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Corona haina huruma aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikukuomba ujibu kama hukuwa na jibu la busses la kunipa😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎Akikufikia au wapendwa wako utamfahamu vyema.
Asante mkuu kwa kunifahamisha ubarikiwe 🙏🙏Aina mpya ya corona toka South Africa.Ipo pia ya Kenya inatokana na ngamia zote hizo ni mwendo Kasi zinaua haraka sana. RIP. Judith 🙏
Huyo apepe tuKule hospital ya wilaya ya Hai, kilimanjaro kuna kiongozi wa CCM Yuko kwenye Hali mbaya sana
Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani Pierre nkurunzinza hakuwa mwanamichezo?
sasa mkuu mbona unakimbilia huko ?Mwaka huu labda ufe kwa ajali ndio itasemwa hujafa na corona
Magufuli ndiye sababu ya mambo yote kwenda mrama! Ila Tanzania kusema kweli tuna wasomi na raia wajinga na waoga sijawahi kuona. Kama yule prof. wa chuo Kikuu Huria alivyotoa tahadhari nimeshangaa mno mno kada ya wasomi inamwambia aombe radhi. Hii nchi kuna limwata tumelishwa si bure! Inakuwaje mtu mmoja tena anaoneka kama mentaly unstable apelekeshe nchi nzima?
Ukipata kusimuliwa na mtu aliyepata huyu mdudu mpya namna hali anayopitia, sidhani kama utaichukulia poa hii makitu...
Kwa nini uwarudishie wazazi hela ya kukusomesha wakati ni wajibu wao? Wewe unawalipia wanao ada kubwa kubwa ili waje wakurudishie hapo baadaye? Mawazo ya kijinga kabisa haya yanayosababisha watoto wawe watumwa kwa wazazi wao maisha yao yote, na kusababisha stresses zisizo na sababu kwa watoto.Dah inasikitisha sana.
Ukute hata alikuwa bado hajawarudishia wazazi gharama za kumsomesha.
Kwani wewe ukiwa mtumwa kwa wazazi wako unapungukiwa nini?.Kwa nini uwarudishie wazazi hela ya kukusomesha wakati ni wajibu wao? Wewe unawalipia wanao ada kubwa kubwa ili waje wakurudishie hapo baadaye? Mawazo ya kijinga kabisa haya yanayosababisha watoto wawe watumwa kwa wazazi wao maisha yao yote, na kusababisha stresses zisizo na sababu kwa watoto.
Hata ukifa kwa ajali bado watu wanagoma, eti hadi waone picha ya ajali, kama huyo mbunge wa KigomaMwaka huu labda ufe kwa ajali ndio itasemwa hujafa na corona
Mkuu katika utawala kuna kitu kinaitwa kambale mwenye ndevu, kambale lenye ndevu linatakiwa kuwa moja......Magufuli ndiye sababu ya mambo yote kwenda mrama! Ila Tanzania kusema kweli tuna wasomi na raia wajinga na waoga sijawahi kuona. Kama yule prof. wa chuo Kikuu Huria alivyotoa tahadhari nimeshangaa mno mno kada ya wasomi inamwambia aombe radhi. Hii nchi kuna limwata tumelishwa si bure! Inakuwaje mtu mmoja tena anaoneka kama mentaly unstable apelekeshe nchi nzima?
Tatizo alitumia jina Mungu kuhalalisha dhana kwamba tumeishinda Corona.... Sasa ni ngumu kurudi nyuma, hebu jiweke kwenye viatu vyake, nchi ya "wacha" Mungu, umewaambia tupige maombi na "muujiza" umetokea. Unarudije kuwaambia ugonjwa umerudi tena?Hivi kuna ugumu gani kwa Magufuli kudeclear kwamba gonjwa lipo na hivyo kuwapa uhuru wataalamu wa afya kufanya kazi zao bila woga kwamba wanapingana na mwenye Nchi?
Hakuna fedheha wala aibu kusema kwamba Corona “imerudi” baada ya kuwa “tumeiondoa” kwa maombi yetu July 2020
Kinyume chake ni ujuha tu na upunguwani
FungukeniMuhimbili kuna Kiongozi mstaafu yuko mahtuti.
Yes shida ya Korona sana sana umri mkubwa na ikiwa mtu ana magonjwa mengine ukweli hatapumua Mungu tu asaidie kwakweliUnless otherwise alikuwa na tatizo jingine,kwa age yake hiyo,sidhani kama amekufa kwa Korona!
Victims wa Ugonjwa huo wengi ni wazee.