dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Wengine bado mioyo yetu haina Amani mpaka tusikie kubwa lao lakuficha taarifa linakwama kupumuaAlafu wanaondoka wale wale wanao ficha ukweli
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine bado mioyo yetu haina Amani mpaka tusikie kubwa lao lakuficha taarifa linakwama kupumuaAlafu wanaondoka wale wale wanao ficha ukweli
Labda alikuwa na magonjwa menginePierre nkurunzinza hakuwa mwanamichezo?
Yes nadhani jamaa hakuweka vzr hoja yake Mzazi kumsomesha mwanae ni wajibu mtoto kumtunza mzazi ni sadaka tu Ila mzazi kama anaona fahari mtoto wake anapofanikiwa Ile ndio faida yake sasa kama anakufa mapema hivyo manake anaumia mara mbili kukosa mtoto na fahari ya mwanaeKwa nini uwarudishie wazazi hela ya kukusomesha wakati ni wajibu wao? Wewe unawalipia wanao ada kubwa kubwa ili waje wakurudishie hapo baadaye? Mawazo ya kijinga kabisa haya yanayosababisha watoto wawe watumwa kwa wazazi wao maisha yao yote, na kusababisha stresses zisizo na sababu kwa watoto.
Watu kama nyie ndiyo mnaopotosha. Hali ni mbaya labda bado una bahati haujatembelewa kwenye ukoo wakoCorona ipo ila tusiiwatie watu hofu
Note tujikinge Corona ipo ila sio kwa ukubwa unaozungumzwa
Unataka iwepo nyingi kiasi gani? Au unataka watu wangapi wafe ndiyo upate hofu?Corona ipo ila tusiiwatie watu hofu
Note tujikinge Corona ipo ila sio kwa ukubwa unaozungumzwa
Mkuu kuna dada Nesi Muhimbili pale, yeye ndie alianza kuni-alert kuwa kuna uwezekano mtaani Corona imeanza kuwa nyingi kwa sababu Kuna siku walipokea wagonjwa karibu 200, na walikuwa na dalili zote.
Nikamuonya awe makini sana, na Wagonjwa na Manesi wanaowahudumia maana yeye alikuwa anaripoti kwa Boss tu.
Siku chache Baadae akaanza kulalamika kuchoka, siku ya pili akachoka sana kuliko jana yake.
Siku ya Tatu akanipigia kuwa anajisikia vibaya na maumivu ya Kichwa, nikajua Tayari mtihani ushampata. Mpaka kufikia mchana alikuwa keshakunywa Dawa za maumivu kupita kiwango chake, maana alikuwa analalamika mwili kuuma sana na maumivu makali ya Kichwa.
Mi nikamshauri aondoke arudi nyumbani, akaenda kuanza Dozi ya Tangawizi na Limao, kuanzia saa 8 mpaka 7 Usiku alikunywa karibu mara 6, ndio iliomsaidia Asubuhi akaamka kidogo nafuu. Alipofika nyumbani hali aliyonayo wadogo zake walidhani Dada yao anarudi kwa muumba.
Ukihadithiwa na mtu alieugua serious Corona hutailetea masihara. Nauheshimu mno huu Ugonjwa.
AHM ama JMK?
Tulia weweeSikukuomba ujibu kama hukuwa na jibu la busses la kunipa😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Nonsense
UKIMWI upo likizo...Mwaka huu labda ufe kwa ajali ndio itasemwa hujafa na corona
Balozi mstaafu Mwapachu
Dada shikamoo! Ulivosema ndivyoMuhimbili kuna Kiongozi mstaafu yuko mahtuti.
Karuhusiwa kapona au hatunae.Dada shikamoo! Ulivosema ndivyo
Mzee leo kaondoka Asee
Balozi Mwapachu amefariki leoKaruhusiwa kapona au hatunae.
Hali inatisha jaman
Ohooo jaman...mbona hali inaogofya namna hii🥺🥺🥺🥺Balozi Mwapachu amefariki leo
Inatisha endelea kula maji ya chumvi, chai yenye tangawizi, malimao ukipata na nimrcaf pigaa
Ni kweli cha,msingi kuchukua tahadhari kubwa mno.Ohooo jaman...mbona hali inaogofya namna hii[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Kaza shingo tuKwa hiyo huu ndiyo uthibitisho kuwa kuna Corona?