TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

Yes nadhani jamaa hakuweka vzr hoja yake Mzazi kumsomesha mwanae ni wajibu mtoto kumtunza mzazi ni sadaka tu Ila mzazi kama anaona fahari mtoto wake anapofanikiwa Ile ndio faida yake sasa kama anakufa mapema hivyo manake anaumia mara mbili kukosa mtoto na fahari ya mwanae

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Pole kwa wafiwa.. naomba kuuliza Ivi mtu anapoitwa wakili msomi inamaana gani?
Maana sijawai kusikia Mwanahabari Msomi, Muhasibu msomi, Mwalimu Msomi au mkufunzi Msomi Neno Msomi kwa wanasheria linamaana gani? Ilihali kuna watu wana ma PHD yao sijawai kusikia wakiitwa flan Msomi
 
Corona ipo ila tusiiwatie watu hofu

Note tujikinge Corona ipo ila sio kwa ukubwa unaozungumzwa
Unataka iwepo nyingi kiasi gani? Au unataka watu wangapi wafe ndiyo upate hofu?
 

Watu wanaweka masikhara sana kwa kweli, kule kuchukua tahadhari kote kumeisha si kama awali...

Experience yake hiyo kitu ni kama mtu uumwe kwa mpigo Pumu + Malaria kali + kichwa cha Dengue + Kikohozi kile kikavu cha kuumiza mbavu + Tonsillitis "matonsesi"...

Kuna jamaa namfahamu, wiki ya pili sasa hajarecover, kila ikifika jioni hali inakuwa tete kwake roho juu juu na huyo kapigwa ile ya Stage II
 
Tulia wewee
 
Ohooo jaman...mbona hali inaogofya namna hii[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ni kweli cha,msingi kuchukua tahadhari kubwa mno.

Huu ugonjwa ukikukuta una sukari au presha, ni kama umepuliza puto alafu, ukachukua sindano ukaipeleka moja kwa moja kwenye puto kitakacho tokea nadhani unajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…