Siku hizi hata watu wakifa sababu ikiwa abortion, bado utaambiwa ni Corona!!Ni kweli cha,msingi kuchukua tahadhari kubwa mno.
Huu ugonjwa ukikukuta una sukari au presha, ni kama umepuliza puto alafu, ukachukua sindano ukaipeleka moja kwa moja kwenye puto kitakacho tokea nadhani unajua.
Covid21Kaburu mpya ndo kitu gani ndugu yangu
Acha upuuzi we mtoa mada, unao uthibitisho ni Corona?R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
Is this confirmed; Maana siku izi habari zinakuwa nyingi sana.Nilisikia yule Dr kavavila Arusha naye hatunaye. Alikuwa doctor mzuri sana wa watoto pale Aicc hospital.