Wakili msomi Kibatala

Wakili msomi Kibatala

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
 
Mku huyu hana muda bila kufungua rufaa.
 
kuna njama za kumhujumu kibatala na wateja wake,angalia manji alivyomuondoa kibatala kwenye kesi,,na kesi ikaisha

refer lissu na mahusiano yake na kibatala,nadhani hata wema sepetu atawekewa mtego,perception ni kwamba anayetetewa nana kibatala ni chadema,pia lengo ni kuzuia wimbi la wasanii kuhamia cjadema na waone serikali ndio suluhu kuwasaidia ndio maana jana bashite alisema daddy is coming
 
Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
Ditopile alichomoka wapi? Yule hata kesi yake ilikuwa haijaanza kusikilizwa akafa.Muda wote alikuwa nje kwa dhamana kama alivyokuwa lulu hadi alipofariki na kesi yake kufutwa.
 
Mie huwa simfagilii Kibatala,lakini kwa kesi hii amefanikiwa kwa 90%
Ni kibatala aliewezesha lulu kuwa nje kwa dhamana kwa miaka 5akisubiri kesi iishe
Ni kibatala aliejitolea kumtetea,hao mawakili brave wote waliulaza
Ni kibatala aliewezesha kesi kuwa ni kuuwa bila ya kukusudia badala ya kesi ya kuua
Lulu ameua,kibatala amejitahidi sana,Lulu alitakiwa afungwe miaka 10
Hoja kwamba alikua mdogo ilikua haina mashiko,huyu lulu ni kifupi nyundo tu,na hakuna asiejua tabia zake za utukutu alizofundishwa na mama yake.
 
Mama yake unamtwisha mzigo usiokuwa wake mkuu, Kama una watoto subiri utaona
 
Huu ndiyo ujinga wa watz,neno wakili msomi linatumika all over the world kwa wataalamu wa sheria.

Anyway, ww nani kakuzuia kuwa msomi?.
It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?

All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?

Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?

Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.

Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.

Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.

Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?

Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
 
Raisi Dokta Magufuli....hahaha upuuzi mtupu hawa wandishi,nimeshawahi kuona raisi wa Tanzania anaitwa Mheshimiwa raisi Dokta Magufuli kwenye Dar24 website😱😱
 
Ni sawa na kutarajia kila mechi lazima Ronaldo ashinde. Usechu!!!

Basi wakili msomi ni Agness Marwa!
 
Wanasheria duniani kote wana utaratibu wa kuitana,learned counselors ,learned brothers,sisters,My Lord, nk.Ni utamaduni tuuu,ni professional language,ni slang yao.Msitoe povu.
Drama tu hizo, watu waongo sana.
Hapa bongo sikuwahi kusikia mwanasheria akiitwa wakili msomi zaidi ya huyo Kibatala.
Kwamba mawakili wengine hapa bongo hawajasoma au vipi?
 
Mtu yoyote aliyesoma law school na kuapishwa kuwa wakili na kupewa muhuli ni wakili msomi...iyo ni tittle ya kila wakili aloapishwa....mtu akijiita wakili tu ujue kaamua tu kufupisha...
 
Sawa mawakili wasomi.
 
Back
Top Bottom