KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Akiwa mwanamke watamwita Mrs. PresidentMarekani hata kama ni Professor lakini ukiwa Rais unaitwa Mr. President hakuna mbwembwe zingine tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa mwanamke watamwita Mrs. PresidentMarekani hata kama ni Professor lakini ukiwa Rais unaitwa Mr. President hakuna mbwembwe zingine tena.
Kama ni rahisi kiasi hicho kwanini usiende wewe kuonyesha umwamba wako wa sheria!Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
Japo jamii inaamini kuwa tabia ya mtoto inachangiwa sana na malezi anayopata toka kwa wazazi,walezi,ndugu,jamii,marafiki,mazingira.....ila inasahau kuwa kuna watoto wengine jamani hata wazazi wangejitahidi vipi kuwalea katika misingi bora ya malezi ila bado huyo mtoto anajiamulia tu kuwa Nunda. Malezi ya watoto wakati mwingine hakuna anayeweza kujisifu kuwa yeye ndiye mlezi bora . Mungu pekee ndiye ajuaye hatima ya watoto wetu....Ila bado wazazi , walezi tunawajibu wa kuendelee kuwajibika kwa watoto wetu.
His Excellence President Obama,nayo hujaisikia?It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Umesikia mara ngapi?His Excellence President Obama,nayo hujaisikia?
Nimekuelewa msingi wa swali lako nami pia nimewahi kuuliza kwa jamaa angu 1 alikua anasoma law sasa nikamuuliza kwa nn huwa mnaitana wakili msomi ??It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Akiwa mwanamke watamwita Mrs. President