Mku huyu hana muda bila kufungua rufaa.Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
Ditopile alichomoka wapi? Yule hata kesi yake ilikuwa haijaanza kusikilizwa akafa.Muda wote alikuwa nje kwa dhamana kama alivyokuwa lulu hadi alipofariki na kesi yake kufutwa.Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
Mie huwa simfagilii Kibatala,lakini kwa kesi hii amefanikiwa kwa 90%
Ni kibatala aliewezesha lulu kuwa nje kwa dhamana kwa miaka 5akisubiri kesi iishe
Ni kibatala aliejitolea kumtetea,hao mawakili brave wote waliulaza
Ni kibatala aliewezesha kesi kuwa ni kuuwa bila ya kukusudia badala ya kesi ya kuua
Lulu ameua,kibatala amejitahidi sana,Lulu alitakiwa afungwe miaka 10
Hoja kwamba alikua mdogo ilikua haina mashiko,huyu lulu ni kifupi nyundo tu,na hakuna asiejua tabia zake za utukutu alizofundishwa na mama yake.
Huu ndiyo ujinga wa watz,neno wakili msomi linatumika all over the world kwa wataalamu wa sheria.Neno msomi huwa lina ikena sana. Kwani hamna mwalimu msomi?
It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?Huu ndiyo ujinga wa watz,neno wakili msomi linatumika all over the world kwa wataalamu wa sheria.
Anyway, ww nani kakuzuia kuwa msomi?.
Mbona Hashi Rungwe humuitagi ivo!?Huu ndiyo ujinga wa watz,neno wakili msomi linatumika all over the world kwa wataalamu wa sheria.
Anyway, ww nani kakuzuia kuwa msomi?.
Raisi Dokta Magufuli....hahaha upuuzi mtupu hawa wandishi,nimeshawahi kuona raisi wa Tanzania anaitwa Mheshimiwa raisi Dokta Magufuli kwenye Dar24 website😱😱It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Mwalimu anajulikana automatically kuwa ni msomi hana haja ya kujipigia promo.Neno msomi huwa lina ikena sana. Kwani hamna mwalimu msomi?
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa lulu ni kichecheMama yake unamtwisha mzigo usiokuwa wake mkuu, Kama una watoto subiri utaona
Drama tu hizo, watu waongo sana.Wanasheria duniani kote wana utaratibu wa kuitana,learned counselors ,learned brothers,sisters,My Lord, nk.Ni utamaduni tuuu,ni professional language,ni slang yao.Msitoe povu.
Mtu yoyote aliyesoma law school na kuapishwa kuwa wakili na kupewa muhuli ni wakili msomi...iyo ni tittle ya kila wakili aloapishwa....mtu akijiita wakili tu ujue kaamua tu kufupisha...Drama tu hizo, watu waongo sana.
Hapa bongo sikuwahi kusikia mwanasheria akiitwa wakili msomi zaidi ya huyo Kibatala.
Kwamba mawakili wengine hapa bongo hawajasoma au vipi?
Sawa mawakili wasomi.Mtu yoyote aliyesoma law school na kuapishwa kuwa wakili na kupewa muhuli ni wakili msomi...iyo ni tittle ya kila wakili aloapishwa....mtu akijiita wakili tu ujue kaamua tu kufupisha...