Wakili msomi Kibatala

Kama ni rahisi kiasi hicho kwanini usiende wewe kuonyesha umwamba wako wa sheria!
 

Yeah! Just play your part but no grantee that you will succeed, MUNGU TU
 
His Excellence President Obama,nayo hujaisikia?
 
Nimekuelewa msingi wa swali lako nami pia nimewahi kuuliza kwa jamaa angu 1 alikua anasoma law sasa nikamuuliza kwa nn huwa mnaitana wakili msomi ??
Majibu yake yalikua kama ifuatavyo
Anasema hapo nyuma ktk history ya mawakili kuwa mahakaman na ku-argue ikafika kipindi hao mawakili wakaanza kutupiana maneno ya kafsha na kuzalilishana sana so baada ya hiyo kesi kwisha ndo wakaa na kuweka utaratibu wa Ku-recognize uwezo wa watu wengine (mawakili wenzao kwa kutumia maneno yenye staha na hapo ndo kukaanza rasmi kutumika kwa neno learned lawyer (cna hakika kama ndo neno sahihi la kingereza )lenye maana ya wakili msomi kwa lugha yetu

Ndo maana huwa hatusikii mawakili wakizalilisha hata kama m1 kashidwa kwenye kesi still wanatumia maneno yenye hekima yasiyo ya kuuzi

For more reference watu washeria nadhani wanaweza kutuwekea hiyo case ya hao jamaa mawakili waliokua wanatoleana maneno makali ili kila mtu apate kuelewa

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…