GE2025 Wakili Msomi, Maduhu: Jeshi la Polisi ni chombo cha usalama, lazima liheshimiwe. Wananchi msiwashambulie

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili Maduhu ameonya dhidi ya vitendo vya wananchi kujaribu kushindana na askari polisi, akirejea baadhi ya video zilizozagaa mtandaoni. “Nimeona video, sijui kama ni ya kweli au imehaririwa, ikimuonesha mwananchi akijaribu kumrushia askari ngumi. Hili haliwezi kukubalika. Jeshi la Polisi ni chombo cha usalama, lazima liheshimiwe. Polisi anabeba silaha kwa niaba ya Jamhuri; akiamua kutumia, anayeumia si polisi, bali ni raia asiye na kinga.”

Ameongeza kuwa jaribio lolote la kumshambulia askari linaweza kusababisha madhara makubwa, kwani polisi naye ni binadamu mwenye wajibu wa kujilinda.

Aache ufala, si ndiyo hawa wanadai Wabongo waoga. Sasa inakuwaje wakiutoa uoga wanalalamika.
 
"Mahakama inaendesha kesi kwa njia ya mtandao, na inapokea ushahidi kwa njia ya mtandao, na hata majuzi tumeshuhudia hivyo kwenye kesi ya Lissu. Sasa polisi wanashindwa nini kunihoji kwa njia ya mtandao? Kusema kwamba hawawezi kuanza uchunguzi wa tuhuma nilizotoa mpaka nije ni kukwepa wajibu wao. Niko tayari kuhojiwa kwa njia ya mtandao na nitatoa ushirikiano lakini kusema nije ndo muanze uchunguzi hilo msahau. Siji ng'o” Balozi Humphrey Polepole.!
FB_IMG_1758235538573.jpg
 
Wakili Maduhu ameonya dhidi ya vitendo vya wananchi kujaribu kushindana na askari polisi, akirejea baadhi ya video zilizozagaa mtandaoni. “Nimeona video, sijui kama ni ya kweli au imehaririwa, ikimuonesha mwananchi akijaribu kumrushia askari ngumi. Hili haliwezi kukubalika. Jeshi la Polisi ni chombo cha usalama, lazima liheshimiwe. Polisi anabeba silaha kwa niaba ya Jamhuri; akiamua kutumia, anayeumia si polisi, bali ni raia asiye na kinga.”

Ameongeza kuwa jaribio lolote la kumshambulia askari linaweza kusababisha madhara makubwa, kwani polisi naye ni binadamu mwenye wajibu wa kujilinda.

Mropokaji hana hoja
 
Aache ufala, si ndiyo hawa wanadai Wabongo waoga. Kwa nini sasa wakiutoa uoga wanawalalamikia?
 
"Mahakama inaendesha kesi kwa njia ya mtandao, na inapokea ushahidi kwa njia ya mtandao, na hata majuzi tumeshuhudia hivyo kwenye kesi ya Lissu. Sasa polisi wanashindwa nini kunihoji kwa njia ya mtandao? Kusema kwamba hawawezi kuanza uchunguzi wa tuhuma nilizotoa mpaka nije ni kukwepa wajibu wao. Niko tayari kuhojiwa kwa njia ya mtandao na nitatoa ushirikiano lakini kusema nije ndo muanze uchunguzi hilo msahau. Siji ng'o” Balozi Humphrey Polepole.!View attachment 3475462
Hii nimeipenda.
By the way, kwa wananchi wenzangu; ukipata nafasi ya kumtwanga form four failure yeyote yule bakora, teke au ngumi, hata usijiulize mara mbili. Hao ni wapuuzi tu wasiojitambua.
 
Kabisa,nikipata nafasi ya kumfinya nitafanya hivyo 100 times
 
Back
Top Bottom