TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

Nahis tungeweka special Uzi was vifo vya vitokanavyo na matatizo ya upumuaji au wagonjwa waliougua muda mfupi haswa wwnye umri mkubwa mkubwa
 
RIP.

Mmoja mmoja kila mtu kwa wakati wake huku msisitizo ukiwa ikiwezekana habari kama hizi zisisikike.

Hiiii bagosha!

Nduhu u kweshema.
We can't breathe.
Tunashindwa kupumua!
 
Rest in peace mzee munuo,mzee ulikuwa na msimamo Sanaa.....
 
Whichever name we might call whatever..., and no matter the causes..... ila fact ni kwamba Vifo vimekuwa vingi (au taarifa) whatever the case.., No Longer at Ease...
 
Nasikia Jaji Munuo wakati bado ni Hakimu Mkazi Arusha aliwahi kumweka ndani mumewe baada ya kuja mahakamani na kupiga honi ya gari na kuisababishia mahakama usumbufu.

Niliwahi kusikia hii story, kumbe ni huyu.
 
Pumziko La Amani apate Mzee.

Huyu Mzee alikuwa ana life style yake fulani hivi......na alikuwa na bakora yake fulani hivi yuko nayo muda wote.
 
Back
Top Bottom