Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba hauelezi Miaka mingapi ya huduma ya DP World itakuwepo? Hawa wote ni Wajinga.
Kwako, akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukuma ndio unaowaelewa.
Historia huwa inajirudia. Tuendelee Kusimama kwenye ule Upande sahihi wa historia.
Makinika, utawapoteza au utajiondolea heshima kwa Wazalendo muhimu ambao tayari walikuona kama Mwanandishi Mahiri na Mbobezi.