Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mimi mnafki ila kwa Pasco nimenyosha mikono.
huyo nae ni wale waleMaandiko ya Paskali (nazungumzia maandiko yake) yamejaaa unafiki mnooooo. Kisaikolojia ukiona MTU anaeleza JAMBO Dogo tu Kwa maneno mengi with irrelevant references ujue anaficha panapovuja!
Nasubiri P aamke ...ajibu najua baraza kuu usalama linasukwa kupewa notes wakubaklli bandari iende huko ....masikini Tanganyika yangu ......Sijui kama watapangua uozo huu .....Mungu ibariki TanzaniaPengine Prof Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona Asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania Hawa mtaani ambao Sasa wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba hauelezi Miaka mingapi ya Huduma ya DP World itakuwepo? ... Hawa wote ni Wajinga
Kwako, Akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukumaz Hawa ndio Unaowaelewa!!
Historia Huwa inajirudia, Tuendelee Kusimama kwenye ule Upande sahihi wa historia!!.
Makinika, utawapoteza au utajiondolea Heshima Kwa Wazalendo muhimu ambao tayari walikuona kama Mwanandishi Mahiri ,Mbobezi !!
Ukiongelea huo mkataba kwa kuukosoa, eti unaambiwa we ni mdini au mbaguzi wa kijinsia au unaleta u Tanganyika! Paskali kaamua kujitoa ufahamu ili asipewe hayo majinaPengine Prof Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona Asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania Hawa mtaani ambao Sasa wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba hauelezi Miaka mingapi ya Huduma ya DP World itakuwepo? ... Hawa wote ni Wajinga
Kwako, Akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukumaz Hawa ndio Unaowaelewa!!
Historia Huwa inajirudia, Tuendelee Kusimama kwenye ule Upande sahihi wa historia!!.
Makinika, utawapoteza au utajiondolea Heshima Kwa Wazalendo muhimu ambao tayari walikuona kama Mwanandishi Mahiri ,Mbobezi !!
Duuuh
I concur, ukiona jambo linahitaji maelezo mafupi lakini mtu anakuwekea makala ujue kuna tatizo, kuna figisu, kuna uongo unataka kutengenezewa cover uwe ukweli. To be sincere, huwa mara chache sana kusoma mabango yake kwa asilimia 100, maana yamejaa unafiki tupu. Its like hes waiting for something (a promise that'll never be fulfilled)Maandiko ya Paskali (nazungumzia maandiko yake) yamejaaa unafiki mnooooo. Kisaikolojia ukiona MTU anaeleza JAMBO Dogo tu Kwa maneno mengi with irrelevant references ujue anaficha panapovuja!
Adui mwombee njaa!! Njaa ni nyoko, wanaume wanainamishwa.
Tuhukumu contents zake sio yeye binafsi hahahaha 😂
Paschal Mayala ni snitch mbaya sana huyu jamaa.Maandiko ya Paskali (nazungumzia maandiko yake) yamejaaa unafiki mnooooo. Kisaikolojia ukiona MTU anaeleza JAMBO Dogo tu Kwa maneno mengi with irrelevant references ujue anaficha panapovuja!
HAPANA, ukiwa na umri kama wa kwake utaelewa! I respect that guy ila sio maandiko yake! Niliwahi kukaa nae mahali, ni MTU mzuri tuPaschal Mayala ni snitch mbaya sana huyu jamaa.
paschal na waandishi wa habari wote siwalaumu wengi siwalaumu katika sakata la bandari ni njaa na taaluma ya habari haina uhakika wa kula wanatangatanga, shida ndio imeanzia hapo wamehongwa pesa wasiandike ukweli, wamedanganya hii habari ina public interest (swala hili ni la kitaifa) wote wamejaa, wamepewa maelekezo Rais ndio anataka kwa manufaa ya umma, wasiandike kinyume na Rais, haya ni matakwa ya Rais, sio maneno yangu ya mwandishi mmoja, ananiambia msituone kimya juu ya ili,Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba hauelezi Miaka mingapi ya huduma ya DP World itakuwepo? Hawa wote ni Wajinga.
Kwako, akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukuma ndio unaowaelewa.
Historia huwa inajirudia. Tuendelee Kusimama kwenye ule Upande sahihi wa historia.
Makinika, utawapoteza au utajiondolea heshima kwa Wazalendo muhimu ambao tayari walikuona kama Mwanandishi Mahiri na Mbobezi.
Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba hauelezi Miaka mingapi ya huduma ya DP World itakuwepo? Hawa wote ni Wajinga.
Kwako, akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukuma ndio unaowaelewa.
Historia huwa inajirudia. Tuendelee Kusimama kwenye ule Upande sahihi wa historia.
Makinika, utawapoteza au utajiondolea heshima kwa Wazalendo muhimu ambao tayari walikuona kama Mwanandishi Mahiri na Mbobezi.