Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

Nasubiri P aamke ...ajibu najua baraza kuu usalama linasukwa kupewa notes wakubaklli bandari iende huko ....masikini Tanganyika yangu ......Sijui kama watapangua uozo huu .....Mungu ibariki Tanzania
Na kwa hiyo hilo likishapitishwa ndo itakuwa marufuku kujadili issue za bandari
 
Maandiko ya Paskali (nazungumzia maandiko yake) yamejaaa unafiki mnooooo. Kisaikolojia ukiona MTU anaeleza JAMBO Dogo tu Kwa maneno mengi with irrelevant references ujue anaficha panapovuja!
Nilishawahi kukomenti kwenye Uzi Mmoja wa pascal kwa mawazo kama haya.To be specifi,pasca anayaangalia mambo yote kwa jicho la ccm.Huwa analazimika kuweka mofano miiingi ili watu wamuelewe lakini ni kazi bure kwa sababu usoma maandiko yake yote unaona uccm ndani yake.
 
Kamwee usitegemee huo uwakili utakua active ndan ya CCM!! Yaan Pascal ni mpaka awe nje ya CCM ndipo tasnia yake ya sheria ataitumia properly!! Over
 
Umesahau kukumbusha na T law society ambayo yeye ni mwana hama hai, lakini akaiona ni mbugila tuu. Atoke mbele na kupinga aliyoyasema prof shivji, vinginevyo na yeye awekwe kwenye kitabu cheusi katika historia ya 🇹🇿
 
Kwako, akina Zembwela, Kitenge, Kibajaji, Msukuma ndio unaowaelewa.[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kufanya editing kidogo ueleweke vizuri Mpwa?
 
like hes waiting for something (a promise that'll never be fulfilled)[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko ya Paskali (nazungumzia maandiko yake) yamejaaa unafiki mnooooo. Kisaikolojia ukiona MTU anaeleza JAMBO Dogo tu Kwa maneno mengi with irrelevant references ujue anaficha panapovuja!
Inahitaji utulivu na akili kubwa kusoma makala za Pascal Mayala na kuzielewa,

Huyu jamaa huandika kwa Lugha nyepesi yenye umakini bila kukwaza pande husika,hilo ndio wengi wetu huwa hatumuelewi,. Pia Makala zake mara nyingi ni ndefu ,hivyo huwawia vigumu vijana wa kitanzania ambao ni wavivu kusoma makala ndefu,kama jinsi ambavyo tunapigwa mikataba mingi kwa uvivu wa baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha kuisoma mikataba hiyo
 
Actually labda nimuhukumu kwa flip flopping; ila angalau anajitahidi kujibu hoja kwahio mtu kama huyu ni rahisi sana kama Hoja zako zina mashiko na zina nguvu zaidi kubishana nae na mwisho wa siku kupata mchele na pumba....

Kuliko wengine waliopo kwenye majukwaa haya ambao mkianza kuongelea Hoja wanahamisha magoli na mwisho wa siku wanaanza personal attacks na kama hawakujui wanahamia kwenye matusi (kwa hili Paskali ana shida zaidi sababu watu wanamjua hence ni rahisi kumu-attack yeye na sio hoja zake ambazo binafsi naona leaves a lot to be desired)...

Watu kama Paskali wanafaa katika jamii kama hii ya kushindana kwa hoja na sio viroja mfano Jamii Forums (ambapo watu wanampinga) ingawa huenda kwa kutumia kalamu yake kuwaelimisha watu huenda akawa anaharibu sababu huko anaweza akatumika kama chombo cha propaganda kuwalisha watu matango pori....

Hivyo kwa JF nakubali mchango wake na aendelee kuwepo sababu kile nikiona heading yake nina uwezo wa kumpinga anachosema na mimi kusubiri rebuttal yake....,

After all kama Thatcher alivyosema....;
I love argument, I love debate. I don't expect anyone just to sit there and agree with me, that's not their job.
 
Na ni dhahiri anafanya propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…