Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

Hii kitu haihitaji kupapasa.Aisee huyu jamaa namuona Lisu mwingine hapa.Hizi ni kesi ambazo wale wanaosoma sheria inabidi wazifuatilie kwa karibu maana kuna kitu cha kujifunza
 
Maswali ya kibatala yameonekana kumshushia hadhi ya uelewa Inspekta Mahita na kumpa umaarufu kibatala lakini kikhalisia hayana msaada wa kuwaondolea hatia watuhumiwa
 
Kimbiza michawi ya polisi ccm,huyu shahidi ukufuatilia sifa pekee iliyomuingiza kwenye ajira ya polisi,ni kuwa mtoto wa IGP Omary Mahita!
Utakuta kichwani zero,shule alikuwa kilaza,sasa wazazi wafenyeje,lipereke huko polisi lipate ajira,maana likikaa kitaa Bure,linaweza kutatuliwa Malinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…