Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #WakiliWaJamhuri: Objection Mheshimiwa Jaji. Tunaomba maswali ya Kibatala yazingatie utu na kuacha udhalilishaji.
Kuna udhalikishaji gani hapo?
Hayo ni matunda ya kudesa....
Maswali ya Kibatala yamenyooka kama rula.
Ukiangalia kwa mbali uta gundua hawa polisi walikuwa na kiburi cha mwenda zake.
 
Daaaah masikini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ni toa gambe weka gambe hakuna kuomba poo
 
Marekani waje wajifunze Bongo... police wanakaa na gaidi wanapiga nyamachoma na kushushia enegy gaidi apate nguvu zaku-gaidika vizuri!!!
Alafu bomang'ombe sio moshi ni hai mbona wanasema safari ilianzia moshi?
 
Kukiuka taratibu za kumkamata mtuhumiwa au kukiuka taratibu za matumizi ya fedha za Umma hakuondoi hatia ya mshtakiwa
Wewe kichwani hamna kitu kabisa, pengine aheri hata ya huyo shahidi. Unaelewa kuwa hii ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa? Unaelewa hii kesi ndogo ni kwaajili ya kitu gani?
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kesi ya Zuma polisi walijichelewewsha muda wa kuingia mahakamani Jaji aliwapa onyo wakifanya siku ingine hivyo wataenda ndani..bongo polisi wanaanzisha sheria zao eti simu marufuku na wanaendelea kujadili Jaji anawasikiliza watu wasiojua kitu...
Mkuu kule SA kila MIHIMILI inajitegemea na kila muhimili upo kwenye mji wake. Na kila mmoja unafanya shughuli zake kwa MUJIBU wa KATIBA iliyo tengeneza Sheria zao. Hakuna alie JUU YA KATIBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…