Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

Haswaaa!!!,Tutakuwa tumekomaa sasa.
 
Hawa makada wa ccm wanaibika sana,hizi kesi za kubumba ni rahisi kushinda zama za jiwe
 
Gaidi kanunuliwa nyama choma, ndozi na erngy ya mo ili awe na nguvu za kupambana zaidi.
Hahahaha yule sabaya ana akili ndogo sana!
Hii case ni matokeo ya upuuzi wa sabaya
 
Ivi kibatala ana ulinzi kweli? Maana sio kwa za uzo anazo ipiga sirikale hii mara kwa mara jamaa huwa anawa nyoosha sana
Ni kweli kabisa, walicho bakiza ni kumwinda na kumtungua vilevile kama kwa Lissu. Watz tusichoke kumfanyia maombi ulinzi kwa Mungu
 
Wanaumbukaje sasa yani kama mitoto. MBOWE UTATOKA SALAMA MCHANA KWEUPE. MUNGU YUPO
 
Kuna udhalikishaji gani hapo?
Hayo ni matunda ya kudesa....
Maswali ya Kibatala yamenyooka kama rula.
Ukiangalia kwa mbali uta gundua hawa polisi walikuwa na kiburi cha mwenda zake.
Hakuna udhalilishaji wowote bali wakili wa Serikali ni mbumbumbu tu ni wakili kilaza
 
Unajua kesi inayoendelea inahusu nini? Kumbuka wako kwenye kesi ndogo ya ukamataji na kuwatesa watuhumiwa. Je kukiuka taratibu za ukamataji hapa haiwapi watuhumiwa nafuu?
Kwanza walikaa vutuoni zaidi ya saa 48 pasipo kuwafikisha mahakamani, Polisiccm wanaenda kuumbuka waache kutumika na CCM kuwabambikia kesi wapinzani
 
Wanaumbukaje sasa yani kama mitoto. MBOWE UTATOKA SALAMA MCHANA KWEUPE. MUNGU YUPO
Wamezoea kuwabambikia kesi watu wasio na msaada wa mawakili thabiti lakini sasa wanaumbuka kwa ushetani wao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #WakiliWaJamhuri: Objection Mheshimiwa Jaji. Tunaomba maswali ya Kibatala yazingatie utu na kuacha udhalilishaji.
Kibatala ni noma
 
Unamkamata mtuhumiwa wa ugaidi kisha unatembea naye ili akusaidie kutafuta gaidi mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]

Tz sihami.
Na nyoma choma mnakula pamoja..
Nyie nani nami anifundishe ugaidi!??
 
Wakili wa Serikali inaelekea hajui kitu ni mbumbumbu
Wapo smart na wanajielewa, tatizo ni kesi wanayoiendesha. Na ukumbuke maandalizi ya mwanzo tangu arrest, investigation na interrogation imefanywa na watu wasiojua wanachofanya. Hata Kibatala angekuwa prosecutor lazima angeonekana hajui.
 
Hawawezi kuzifuata kwasababu wanajua wanafanya ubatili. PGO nadhani zinakuwa zimenyooka, kwahiyo wakizifuata watashindwa kutekeleza maagizo kutoka juu. Wanaamua kupuyanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…