Je wewe mwanao akikuita mbwa utaona sawa?Mkuu ni kweli kenya wanajitahidi sana Babu owino mbunge kijana kabisa katoka chuo juzi tu kamuita Rais kenyatta MBWA kwenye public kabisa....ila amekaa selo siku moja tu ya pili kaachiwa na kesi kashinda unafkiri kwa hapa Tanzania umejionea mwenyewe jinsi lissu sugu mdee na lema walivyosota rumande kisa kutoa maneno ya "uchochezi"
Au unafikili ndio democracy hiyo?
Embu jaribu kuishi Nairobi uswahilini kwa siku mbili tu ,utajifunza kitu.
Mimi nakushangaeni sana, mtu anatoka mishipa ya shingo kupigizana kelele kwa kutolea mfano kuhusu Kenya ati wapo sawa,Wakenya wana staili yao ya kuishi kufuata kabila zao.
Mtu yupo tayali kumuua jirani yake ndani ya nyumba moja kisa tofauti ya kabila na siasa alafu nijifunze kwake kwa sababu kasema hichi au kaamua kile, fikra huendana na busara.
Wacheni mihehuko.